Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hahahahah kichaa kapewa rungu
Hahahah hatimae nimekua mteja sasa ila ngoja apitie hesabu hapa roho inadunda.
1540743205176852872537.jpg
 
Mrangi nimekuvulia kofia.
Yaani tungi kumbukumbu safi na upo on point.

Hakuna matusi wala dharau, just gambe and fun..

Mzee wa habari za mji huu. Mambo ya Kino, Mikocheni nk...hapa hata mtu chake alikuvulia kofia
 
Hahahaha niko stable kweli mm mkarimu sana nnamautani naongea sana Mtu akikakaa na mm haboreki
Nikilewa nalewaaa daily sijawahi gombana na mtu kma uhuni ulikua zamani
Sahv tule maisha tu mzee baba

Ova
20181028_215701.jpg
 
View attachment 914401
Umenikumbusha rafiki yangu Patrick tukimwita Party sasa marehemu. Enzi hizo Keko..alinizidi sana umri lakini braza mmoja mtu poa.

Ana stori za wababe na wahuni wa enzi hizo Keko na Kino..akina Chela nk. Siku namuona Chela kawa mnyonge kwa sababu ya ngada.

Rip Party
 
Mimi ni mtu wa watu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sina shida na mtu
Mastory ya kibaharia etc hpa ndy pake
Maisha ndy haya haya tunywe tule tukalale tu hakna mhuni anayeweza nigusa

Ova
 
Back
Top Bottom