Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Pilika zinaanza nimepigiwa sim kazi na dawa

Ova
20181029_120310.jpg
 
Jana nime keshea papuchi tu jamani yani leo nipo nipo tu hata sijielewi, nataka kutoa lock ya hiyo kitu
 
Poa poa mjumbe nakaribia kufika nikifika nitawajulisaha maana safari za bus ninaziogopa sana. Ukizingatia karibu madereva wote niwalopa kodi.
Kikatiti sasa.
15408097226681129961590.jpg
 
Back
Top Bottom