Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

😀😀😀.
Utajuta kama sio mwelewa.
Mm ndy nmekja kwa mangi naanza kulipa kodi[emoji23] [emoji23]

Ova
20181030_171335.jpg
 
Wajumbe inasemekana huko kilimanjaro kuna Kiwanda cha pombe kali kimevamiwa,jamaa anaendesha Bila kuwa na leseni,vibali ila kwa muonekano ameinvest vizuri!

Ova
 
Wajumbe inasemekana huko kilimanjaro kuna Kiwanda cha pombe kali kimevamiwa,jamaa anaendesha Bila kuwa na leseni,vibali ila kwa muonekano ameinvest vizuri!

Ova
Asante kwa taarifa katibu
 
Back
Top Bottom