mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ila leo home mapema sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm nampa pole mkeo tu huyo mama wa kilokole wa watu atakuwa anakesha kwenye maombi mumewe abadilike
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila leo home mapema sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mm nampa pole mkeo tu huyo mama wa kilokole wa watu atakuwa anakesha kwenye maombi mumewe abadilike
Wanawake Nyie ndomana mnatununiaMm nampa pole mkeo tu huyo mama wa kilokole wa watu atakuwa anakesha kwenye maombi mumewe abadilike
JamaniShunie sijalala vizuri jana
Nani anapenda mume alewe kila sikuWanawake Nyie ndomana mnatununia
Kna mke wa jamaa yangu kutwa anatununiaa kmbe vikao vyetu havipendi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Lakini kunywa sio kulewaNani anapenda mume alewe kila siku
Ile picha yako ya jana haijatoka kichwani! Kila nikistuka usingizini naona makopa kopaJamani
Kwa nini tena
mzee baba mikono ina shake ulipiga nyingi jana? iyo pic inasemaWengine tunaendelea na Safari zetuView attachment 874649
Hahhahhaha hivi si unakumbuka uliniambia unapenda vibonge
Mambo mremboNamalizia weekend View attachment 930005
Mambo mrembo
[emoji1] [emoji1] Mpe hi shuniePoa handsome
Shunie slim flani hivi.Kmbe shunie@kibonge [emoji23] [emoji23]
Ova
Duh [emoji23] [emoji23]Shunie slim flani hivi.
Huyu Mtoto unawwza kula gambe usilewe
Yesuu iruvaaa! Upo uku na weweNamalizia weekend View attachment 930005