Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Vituko vya Asprin
tapatalk_1542205795330.jpeg
 
Chantee.. hapa nikifika home maji kama yotee maana sio kwa Heineken hizi nilizokunywa
Nimemkumbuka bro enzi hizo daily anakula mtungi mpaka saa 11 ndio anarudi home alajitupia sofani dakika 15 anaamka anaoga safari ya kazini.

Nilikua namwonea huruma ila yeye ashazoea ananiona mimi boya nashangaa mambo ya kawaida.
 
Maisha hayo niliyaishi chuo. Nilikua narudi kutoka club 6 am halafu nina kipindi 8 am nikirudi naoga nachaaat mpaka muda wa class

Sijawahi kuweza pombe ya mbali na home maana nikipiga kidogo tu akili inataka kitanda kiwepo karibu.

Nikiwa sipo maeneo ya home nitakuwa nazuga tu bia moja nitailamba masaa
 
Back
Top Bottom