Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

That's How we do...
Nishamkata hyo kijeba fasta nakwenda kwenye mishe mishe

Ova
20181116_075752.jpg
 
Gongolamboto nakuja hko leo
Vp uefa bar,mama land,Bulawayo bado zipo?
Nataka baada ya mishe hko nipige kambi sehemu moja hapo
Nipeni code.....

Ova
Siku hizi kuna Java, smartpark, stk, big John
Uefa bad iko sawa pia, mama land imefulia sana.
 
Back
Top Bottom