Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Sheikh mazinge huyu nnayemjua mimi!???..au ndo wewe sheikh mazinge,unajipa shavu!
 
Mpaka leo zaidi ya miaka 50 sasa wazungu pamoja na ujanja wote hii case ni moja wapo ya unsolved mysteries katika historia ya Marekani.

Wengi hudhani ni conspiracy theory.
 
Huyu ni Mzee Sakita Njapit ole Kopit, Mmasai wa Kenya ambaye ana historia kubwa ya kuua simba watatu (3) akiwa peke yake wakati wa ujana wake miaka ya 1940's lakini pia baadae aliuawa na simba wawili.

Alikuwa na watoto wanaume sita (6) ambao katika wote hao, hakuna aliyechumbia na kuoa bila kuua simba mmoja na kupeleka ushahidi kwa Baba yao.

Miongoni mwa Vijana wake ni SENET OLE NJAPIT ambaye yeye alitamka kuwa Mwanaume hauwi simba mmoja na anataka kufanya kama alivyofanya Baba yake.

Huyu alikuja kuuwa simba watatu na wa mwisho alimuua mwaka 1955 baada ya kukaa porini kwa muda wa mwaka mzima akiwa na maji na Mkuki tu.

Jamii ya kina Ole Njapit ina ndugu zao Ngorongoro Tanzania

Hatahivyo kijana wa Ole Njapit ni Mtangazaji wa SIDAI FM redio ya kimasai iliyopo Kenya.



Picha ya chini ni Senet Ole Njapit

View attachment 1815611
 
Mpaka leo zaidi ya miaka 50 sasa wazungu pamoja na ujanja wote hii case ni moja wapo ya unsolved mysteries katika historia ya Marekani.

Wengi hudhani ni conspiracy theory.
Ila kuna mzee mmoja inasemekana ni kama alikuwa yeye, kwani akiwa kitandani karibu kufa kwake, alimuita mkewe na kumwambia ni yeye ndiye alikuwa copper. Bibi kuenda kuripoti polisi, jamaa alikuwa tayari ashaaga dunia. Lakini walipochunguza huyo jamaa, kuna chances asilimia kama 70 hivi alikuwa yeye ndiye Cooper.
 
Thanks a lot
 
Wamaasai ndio hawa sasa, hawa wa sahi dotcom, kazi kuuza dawa mjini tu! 🀣 🀣 🀣
 
Camoon
 
Basi tu wa siku hizi ndo hamna kitu lakin Wa zamani walikuwa wanakula nyama mbichi na damu mbichi, mke mmoja alikuwa hatoshi maana anaweza kufa usiku
Hata sahi bado wanakunywa damu, ila wale wako kijijini bado, kule ndani ndani mbugani. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kivip Boss
Baada ya miaka mingi tu, kulikuja okotwa bunda la noti, likiwa limefungwa vile vile na rubber band yake, mpya bado, na kijana mmoja akiwa mtoni. FBI walipochunguza serial number wakakuta ni kati ya zile hela walizompa Cooper wakati ule wa mkasa. Kuanzia siku hiyo hadi wa leo, hakujapatikana hela nyingine hata kulipofanywa msako wa kufa mtu, nothing, no traces whatsoever. Na huyo Cooper mwenyewe ndio hivyo kizungumkuti. Kulichunguzwa watu zaidi ya 800, sababu hakuna aliyekuwa anamjua, ni picha tu, hiyo niliyoiweka ndio ilitumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…