Mada maalumu ya picha za watu maarufu waliowahi kuwepo na waliopo duniani

Yuko wapi Gamel Abdel Nasser wa Misri, Tito?.Yule Mmisri Katibu Mkuu wa UN, Koffi Annan nae wa UN, Mtanzania aliyekua Katubu Mkuu wa OAU kabla ya kuitwa AU Dr Salim A Salum, Naibu Katibu Mkuu wa UN Dr. Rose Migiro, Mama Mongella, Bibi Titi, Brigedia Hashim Mbita, Bibi Tax, Abdul Aziz Rantisye, Yasser Arrafat, Kwame Nkurumah, Patrice Lumumba, Sheikh Mazinge, Dossa Aziz, Mengtsu Haile Mariam, Nelson Mandela, Edwardo Mondlane, Michael Gorbachel, Putin, Mao Zedong, Kenneth Kaunda, Notorius B.I .G, Mkwawa, Kinjikitile Ngwale, David Wakati, Nangwanda Sijaona, Abdul Ngalawa, Tiddo D Mhando, Mustafa Sabodo nk nk nk.
Sheikh mazinge huyu nnayemjua mimi!???..au ndo wewe sheikh mazinge,unajipa shavu!
 
D.B.Cooper - jamaa ambae aliweza kuiteka ndege ya Boeing mnamo mwaka 1971 na kisha kuomba apewe dollar laki 2, akidai ako na suitcase bomb(alikuwa nayo kweli). Alipewa na baada ya hapo alifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege kwa kutumia parachuti pasipo kujulikana ni wapi alienda na alikuwa ni nani hasa na isijulikane yupo wapi mpaka leo hii. Aliyemuoa kwa mara ya mwisho kabla hajaruka, alikuwa mhudumu mmoja wa kike ndani ya ndege. Na mhudumu mwingine pia, ambaye tayari alikuwa ameshukishwa na abiria wengine kabla ya hiyo ndege kupaa tena kwa mara ya pili angani.

"A 1972 FBI composite drawing of Cooper(Picha iliyochorwa kupitia maelezo ya waliokuwepo ndani ya ndege hiyo)"
View attachment 1813599
"Northwest Orient Airlines Flight 305(ndege aliyoiteka nyara)"
View attachment 1813600
NB;Aliporuka, alitoka pamoja na lile bomu lake, pesa alizopewa na Parachute extra moja, sababu aliagiza nne lkn aliondoka na mbili.
Mpaka leo zaidi ya miaka 50 sasa wazungu pamoja na ujanja wote hii case ni moja wapo ya unsolved mysteries katika historia ya Marekani.

Wengi hudhani ni conspiracy theory.
 
Huyu ni Mzee Sakita Njapit ole Kopit, Mmasai wa Kenya ambaye ana historia kubwa ya kuua simba watatu (3) akiwa peke yake wakati wa ujana wake miaka ya 1940's lakini pia baadae aliuawa na simba wawili.

Alikuwa na watoto wanaume sita (6) ambao katika wote hao, hakuna aliyechumbia na kuoa bila kuua simba mmoja na kupeleka ushahidi kwa Baba yao.

Miongoni mwa Vijana wake ni SENET OLE NJAPIT ambaye yeye alitamka kuwa Mwanaume hauwi simba mmoja na anataka kufanya kama alivyofanya Baba yake.

Huyu alikuja kuuwa simba watatu na wa mwisho alimuua mwaka 1955 baada ya kukaa porini kwa muda wa mwaka mzima akiwa na maji na Mkuki tu.

Jamii ya kina Ole Njapit ina ndugu zao Ngorongoro Tanzania

Hatahivyo kijana wa Ole Njapit ni Mtangazaji wa SIDAI FM redio ya kimasai iliyopo Kenya.

images%20-%202020-12-28T190510.203.jpg

Picha ya chini ni Senet Ole Njapit

View attachment 1815611
 
Mpaka leo zaidi ya miaka 50 sasa wazungu pamoja na ujanja wote hii case ni moja wapo ya unsolved mysteries katika historia ya Marekani.

Wengi hudhani ni conspiracy theory.
Ila kuna mzee mmoja inasemekana ni kama alikuwa yeye, kwani akiwa kitandani karibu kufa kwake, alimuita mkewe na kumwambia ni yeye ndiye alikuwa copper. Bibi kuenda kuripoti polisi, jamaa alikuwa tayari ashaaga dunia. Lakini walipochunguza huyo jamaa, kuna chances asilimia kama 70 hivi alikuwa yeye ndiye Cooper.
 
Huyu ni Mzee Sakita Njapit ole Kopit, Mmasai wa Kenya ambaye ana historia kubwa ya kuua simba watatu (3) akiwa peke yake wakati wa ujana wake miaka ya 1940's lakini pia baadae aliuawa na simba wawili.

Alikuwa na watoto wanaume sita (6) ambao katika wote hao, hakuna aliyechumbia na kuoa bila kuua simba mmoja na kupeleka ushahidi kwa Baba yao.

Miongoni mwa Vijana wake ni SENET OLE NJAPIT ambaye yeye alitamka kuwa Mwanaume hauwi simba mmoja na anataka kufanya kama alivyofanya Baba yake.

Huyu alikuja kuuwa simba watatu na wa mwisho alimuua mwaka 1955 baada ya kukaa porini kwa muda wa mwaka mzima akiwa na maji na Mkuki tu.

Jamii ya kina Ole Njapit ina ndugu zao Ngorongoro Tanzania

Hatahivyo kijana wa Ole Njapit ni Mtangazaji wa SIDAI FM redio ya kimasai iliyopo Kenya.

View attachment 1815606

Picha ya chini ni Senet Ole Njapit

View attachment 1815611
Thanks a lot
 
Wamaasai ndio hawa sasa, hawa wa sahi dotcom, kazi kuuza dawa mjini tu! 🤣 🤣 🤣
 
Ila kuna mzee mmoja inasemekana ni kama alikuwa yeye, kwani akiwa kitandani karibu kufa kwake, alimuita mkewe na kumwambia ni yeye ndiye alikuwa copper. Bibi kuenda kuripoti polisi, jamaa alikuwa tayari ashaaga dunia. Lakini walipochunguza huyo jamaa, kuna chances asilimia kama 70 hivi alikuwa yeye ndiye Cooper.
Camoon
 
Basi tu wa siku hizi ndo hamna kitu lakin Wa zamani walikuwa wanakula nyama mbichi na damu mbichi, mke mmoja alikuwa hatoshi maana anaweza kufa usiku
Hata sahi bado wanakunywa damu, ila wale wako kijijini bado, kule ndani ndani mbugani. 😂 😂 😂 😂
 
Kivip Boss
Baada ya miaka mingi tu, kulikuja okotwa bunda la noti, likiwa limefungwa vile vile na rubber band yake, mpya bado, na kijana mmoja akiwa mtoni. FBI walipochunguza serial number wakakuta ni kati ya zile hela walizompa Cooper wakati ule wa mkasa. Kuanzia siku hiyo hadi wa leo, hakujapatikana hela nyingine hata kulipofanywa msako wa kufa mtu, nothing, no traces whatsoever. Na huyo Cooper mwenyewe ndio hivyo kizungumkuti. Kulichunguzwa watu zaidi ya 800, sababu hakuna aliyekuwa anamjua, ni picha tu, hiyo niliyoiweka ndio ilitumika.
 
Back
Top Bottom