Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
- Thread starter
- #201
Mara nyingi zinakuwa Ni hadithi za kutunga ili ziweze kuleta changamoto kwenye masuala ya ulinzi.Mpaka leo zaidi ya miaka 50 sasa wazungu pamoja na ujanja wote hii case ni moja wapo ya unsolved mysteries katika historia ya Marekani.
Wengi hudhani ni conspiracy theory.
Ni Kama ile hadithi ya kijana aliekufa kwa kujirusha kutoka juu ya gorofa lakini kabla ya kufika chini akakutana na risasi ilifyatuliwa na baba yake, na hio risasa huyo kijana ndie Alie iweka kwenye bunduki ya baba make I'll kusudi baba make amuue mama yake kwa kua Mara nyingi baba yake alikua akimtishia mama yake bunduki kila wakigombana.
Sasa kijana alivyoona azma yake ya kuuwawa mama yake akaona heri ajiue, alipanda gorofa ya juu zaidi ili ajirushe, ajabu alivyojirusha kufikia kwenye gorofa yao akakutana na risasa kutoka kwenye ile bunduki.
Kesi hio ilikua ngumu Sana kwamba Nani mwenye hatia hapo!
Mwishowe ikaonekana Ni kisa Cha kutungwa tu hakijawahi kutokea.