Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Kumbe wine sio pombe??!!!.
 
Ukitaka kuwakomesha wanywa pombe mkiwa bar, we agiza BALTIKA

Heshima kwako halafu watupie ofa uone wote watafyata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji1550]nialike
 
Mirinda nyeusii

Fanta orange

Waliotengeneza fomula za hivi vinywaji Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
 
Wanywaji wa kemikali hatarishi[emoji23][emoji23] bravo CR7
 
Nani alikwambia wine sio pombe ? Mbona mnatuibia vinywaji vyetu? Nashangaaga mtu akiniambia sinywi pombe nakunywa wine tu , sheiiiitaaaaan , wakijua pombe ni bia na konyagi
 
Aaah wapi? Hutaweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na siku ukirudi lazima uzime bar
Dare me 😂😂.

Kwa hapa nilipofikia najiona kabisa naweza kufanikiwa maana zamani nilikuwa ikipita siku mbili nimafanikio makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…