Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Nimekujaa...hapa nilikua napata juice mbili tatu nikiwa na kritika

IMG-20190406-WA0040.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunywa kilevi ni maamuzi binafsi na sidhani kama maamuzi haya yatathiriwa na watu wanaokuzunguka nimekaa chuoni zaidi ya miaka mitano,nimesoma shule za English medium ,nimesoma st kayumba,nimesoma mjini lakini sikuwahi kuhisi kupungua katika kutotumia kilevi chochote licha ya kwenye viwanja na washkaji na kuwa na mahusiano na vyapombe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiokunywa kabisa wanaitwa 'Tea-totaller' (yaani chai tu), lakini inatamkwa 'teetotaller' .

Hebu waulize hao wagidaji wanapata faida gani mbali na kujisikia 'kuchangamka' halafu kulewa, halafu kupata 'ajali' (ya 'kugonga' demu mwenye virusi bila kinga shauri ya ulevi) au kugonga gari (kwa ajali inayosababishwa na ulevi}?

Hebu nikuulize wewe mlevi:- Je, umewahi kupiga hesabu ya kiasi cha pombe unachokunywa kwa mwezi mmoa tu? Nakuhakikishia, ukiwa unaandika idadi ya bia unazokunywa kila siku, ukatafuta idadi na gharama yake kwa mwezi, utashituka. Gharama inaongezeka sana kama utakuwa unachukua demu kwenda ku-enjoy nae. Ukipiga hesabu, utatambua kwamba ndani ya miezi sita ungekuwa na hela ya kununua kiwanja. Miezi sita ingine, ungeweka msingi. Mwaka unaofuata ungepandisha mpaka lenta na kupaua. Mwaka unaofuata ungemalizia na kuhamia.
 
Kwahiyo ukiwa mtu wa viwanja lazima unywe pombe?[emoji15]

Na nini kinakufanya uhisi mi mtu wa viwanja?
Unajua watu sijui huwa wanawaza nn.Ila nilichogundua mm wengi wakiona avater wanahis ndio ww ... 😛..Rubbish kabisaa
 
Leo nadoji job ngoja ntafute ugonjwa wa kusingizia maana kuna baby mama flan hv one among my best friend wa kike na yy anajilipua mbaya sasa kaniambia asubuh tufanye kihappen kuanzia saa mbili asubuh Barbecue na vinywaj vya kutosha adi kila mtu atapoona imetosha..
#Team Liquidy
 
Wine kinywaji laini lakini kamata ya kutosha kama utaona njia ya kurudi home
Namshukru mungu nilikuwa natumia kileo nikaacha nimebaki na wine. Jamaa yangu ili mkuta hiyo kwenye domp si mlevi pia ule utamu mbona alikimbia home haraka!
 
Back
Top Bottom