Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

nilitegemea kuona huu uzi ukiwa umejaa nzi mpk sasa😏😏
 
yaan demu anajidai anakataa ila ukimbana siku unaenda kupiga breki P
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]... Joshua mbavu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
tunaumizwa sana na hawa mademu, niliwahi kumpata demu flan mitaa ya sinza, nikamuimbisha akadai hajala nikaenda kumnunuliA MSOSI pale mwika/sinza makaburini tukaingia mule hotelini sasa saa a kuvua nguo akaenda kuvulia bafuni (chumba ilikuwa self contained) karudi kavaa khanga hips hazipo tena aisee stimu ilikata kabisa. kumbe mvaa foronya a.k.a kigodoro, hapo kashakunywa vyangu sana. imetekea kama 150,000/= halafu nakutana kigodoro. not fair!
 
Ha haha...hukumchapa mikofi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasira hasara mkuu. Hips sio tija sana ilimradi ni dame tu na sio transvestite au kituko kingine. Lakini pia hiyo michubuko inaweza cost mbaya kabisa mkuu. All in all I hope you were fulfilled
nilipiga tu kibingwa maana nilikuwa na ugwadu wa ajabu ila nilimsugua haswa mpaka akachubuka kulipia bia zangu
 
Kwenye lugha ya kibeberu wahusika wa huu uzi tunaitwa teetotallers. Nilipokuwa dent nilikuwa huo upande wa mkuu Mshana Jr.
Basi siku moja mbaya kwangu nikamkuta prof wangu mmoja kwenye baa na maadam vijisenti vya kunywa vilikuwa havinipigi chenga nikampa offer. Kwa mshangao wangu prof akaniambia hatumii kilaji kabisa!
Nilikuwa puzzled kwa sababu prof alitokea ukanda mmoja na mimi na huko kwetu mtu mzima asiyepata kilaji labda mgonjwa au mlokole. Basi nikamwambia prof 'Really. Are you telling me you are a teetotaller?
Prof alicheka tu lakini akaniambia hilo neno halijui maana yake ila hajalipenda. Badala ya mimi kumpa ofa yeye ndio akanipiga drinks nyingi tu. Lakini wenzake waliokuwa naye walikuwa amused sana na hilo neno na mmoja akakolezea kuwa teetotaller ni mtu anaye 'totalize on tea.' Nilipata sup ya huyo prof semester hiyo na baada ya muda mfupi na mimi nikawa 'teetotaller'
Cheers kwa ma teetotaller wenzangu.
 
Hasira hasara mkuu. Hips sio tija sana ilimradi ni dame tu na sio transvestite au kituko kingine. Lakini pia hiyo michubuko inaweza cost mbaya kabisa mkuu. All in all I hope you were fulfilled
who cares? huwez kula vyangu nikakuacha tu
 
Hivi wanywaji wa kahawa nao wanaangukia hapa kweli? Nauliza tu. Mimi sio mmoja wao.
 
Back
Top Bottom