Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Kunywa juice ni umama, piga konyagi kavu baadae ongeza balimi 4 ili equation libalance vizuri! Hapo hata mbu watakula kona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tuu huu uzi lazima utavamiwa na walevi kama wameitwa. Hawa ndugu zetu wana shidaa
 
Ahaa sio kweli. maswahaba hawakuwa wakinywa pombe. Labda kipindi haijakatazwa iliposhuka aya ya kukataza ulevi wakaacha.
ila mimi mwili wangu naudhamini sana. Siwezi kuja kunywa mipombe
Maswahaba hata pombe waliinywa, ukiwa ni mlevi wa wanawake tu basi tofauti ya mikiki ya wanaume na wanawake inakuwa ndogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
una akili za kipumbavu kwakuwa hutumii pombe
 
Nipo hapa, napenda maji kunywa na chai iliyotengenezwa kwa majani ya mtama, tamu sana.
Soft drinks are better drinks.
 
Haha Konki Misri faya. ...
 
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.

Kumbe ndo maana una mambo ya kike kike sana
 
Uzuri wake ni kwamba unaweza kuwa unabugia pombe halafu chai,juisi,maji hata kumeza mate yako mwenyewe hakukushindi.Kwa hiyo huu ni Uzi wa jumuiya yote.
 
IMG_3341.JPG
 
Back
Top Bottom