Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Karibuni.
IMG_20210630_140835_042.jpg
 
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Kumbe wine sio pombe??!!!.
 
Ukitaka kuwakomesha wanywa pombe mkiwa bar, we agiza BALTIKA

Heshima kwako halafu watupie ofa uone wote watafyata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2996][emoji2996][emoji2996][emoji1550]nialike
 
Mirinda nyeusii

Fanta orange

Waliotengeneza fomula za hivi vinywaji Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi
 
Wanywaji wa kemikali hatarishi[emoji23][emoji23] bravo CR7
 
Nani alikwambia wine sio pombe ? Mbona mnatuibia vinywaji vyetu? Nashangaaga mtu akiniambia sinywi pombe nakunywa wine tu , sheiiiitaaaaan , wakijua pombe ni bia na konyagi
 
Back
Top Bottom