Mada maalumu ya wanaotumia vinywaji laini na sio pombe

Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Hivi wine sio pombe?
 
Ukifika mza mtaa wa rwegasore kuna jamaa ni bingwa wa kutengeneza mandi kila ijumaa kuna juice yao wameipa jina lao pia Anti Shuu
Cjui wanatengeneza na nini ni hatari
 
Mbona tupo wachache hivi,kwamba ni sisi tu humu ndo tunaotumia vinywaji laini
 
Kweli ila sio wote.
 
Huku mtajadili Siku inzi alipoingia kwenye mirinda orange
 
Reactions: etb
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
😀 😀 😀 😀
 
Mbona kama umemgusa stroke ?
 
Watumiaji wa vinywaji pendwa vya nzi ni wachache sana kama wafuasi wa chama cha makinikia
 
Nawakumbusha tu, Divai ina Busara Ndani mwake, Bia ina Uhuru Ndani Mwake, Maji yana Bakteria Ndani Mwake!
Chagua Unywe Maji au Bia/Divai.. Uamuzi ni Wako!
 
Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.

Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.
Kwa hiyo dompo wine umeona ni nyepesi kuliko Serengeti lite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…