Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,570
- 10,517
Hivi wine sio pombe?Baada ya walevi kuamua kuwa na uzi wao maalum sasa ni nafasi muafaka kabisa kwa wale wasio tumia vilevi, isipokua vinywaji laini laini tu kama maji, juice, chai na hata bila kuwatenga wale wanaotumia wine tu.
Karibuni jamani, tupeane kampani hapa.