Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

Mahari zawadi ya yule anayeolewa.
Sio hongo.
Hongo hutolewa kwa kitu cha haramu sio halali.
Rekebisha kauli,mahari anatakiwa apokee mwanamke kama zawadi yake,uamuzi wake kama awape wazee ama laah.
Uliona wapi zawadi mtu anajichagulia? Hiyo ni hongo tu..
 
Uliona wapi zawadi mtu anajichagulia? Hiyo ni hongo tu..
Ndio zawadi mtu unaweza kuchagua.
A gift can be chosen but a suprise can't be chosen.
Au hukuwahi kuulizwa uletewe zawadi gani!?
Una fikra fupi sana aisee,tanuka kifikra.
 
Mahalo siwezi lipa kamwe huku ninakoishi sijawahi kuona mwanamke au mke wa mtu akose mchepuko Yani no sehemu inaongoza kwa ngono Tena wanajisifia nishatembea nayule uusi mtu
Uko mtaan kwenu Kuna wanawake akipit mwanaume wanaambiana unamuona yule jamaa, nimeshapiga
 
Hhhhhh
 
Ulimuoaje sasa bila ya kulipa mahari au ndio mumechukuana tu na kuishi pamoja
 
Mahari zawadi ya yule anayeolewa.
Sio hongo.
Hongo hutolewa kwa kitu cha haramu sio halali.
Rekebisha kauli,mahari anatakiwa apokee mwanamke kama zawadi yake,uamuzi wake kama awape wazee ama laah.
Hivi sheikh nikuulize mfano mwanamke ametaka mathalan mahar yke yawe gauni ,,alafu upande mwegne unakuta mababu na wajomba na mabibi wanataka million moja sasa hapo kama wewe unachomokaje
 
Hivi sheikh nikuulize mfano mwanamke ametaka mathalan mahar yke yawe gauni ,,alafu upande mwegne unakuta mababu na wajomba na mabibi wanataka million moja sasa hapo kama wewe unachomokaje
Sasa hapo mkuu kitakachotakiwa kufanyika ni busara.
Kwasababu asili ya familia zetu za kiAfrika wazee ndio wanapenda kuamua kuhusu mahari.
Hivyo kwasababu wewe unataka jambo lako lipite,na binti hawezi kukinzana na wazee wake,inakubidi ukubaliane na hali tu lipa ili ndoa ipite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…