Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

Mada mezani: Kama mahari ni zawadi mabinti wasio na bikra na wale waliozalia nyumbani watolewe mahari kama zawadi ya nini?

Mahari zawadi ya yule anayeolewa.
Sio hongo.
Hongo hutolewa kwa kitu cha haramu sio halali.
Rekebisha kauli,mahari anatakiwa apokee mwanamke kama zawadi yake,uamuzi wake kama awape wazee ama laah.
Uliona wapi zawadi mtu anajichagulia? Hiyo ni hongo tu..
 
Uliona wapi zawadi mtu anajichagulia? Hiyo ni hongo tu..
Ndio zawadi mtu unaweza kuchagua.
A gift can be chosen but a suprise can't be chosen.
Au hukuwahi kuulizwa uletewe zawadi gani!?
Una fikra fupi sana aisee,tanuka kifikra.
 
Mahalo siwezi lipa kamwe huku ninakoishi sijawahi kuona mwanamke au mke wa mtu akose mchepuko Yani no sehemu inaongoza kwa ngono Tena wanajisifia nishatembea nayule uusi mtu
Uko mtaan kwenu Kuna wanawake akipit mwanaume wanaambiana unamuona yule jamaa, nimeshapiga
 
Kuoa mwanamke ambae sio bikira ni moja ya utapeli mkubwa sana unaofanyika karne ya 21. Kwanini ulipe mahari mwanamke ambae wenzako wamemfumua bure? It's not a fair play.

Zamani bikira ilikua kigezo kikuu cha mwanamke kuolewa. Haishangazi hata Yusufu alikaribia kumpiga chini Maria baada ya kundua ni mjamzito wakati hajalala nae. During those days standard was rigid. No virgin no bride price.

Siku hizi wanawake hawajali, wanajua hata wakifunuliwa mapaja na lundo la wanaume bado watampata mjinga jinga wa kumlipia mahari.

Wakina mama hawana time na kuwachunga mabinti zao. Bikira imeshushwa thamani kwa sababu wanaume tumefumbia macho huu ujinga.

Mpaka wanawake ambao ni makahaba wa jiji nao wanajiona wana haki ya kulipiwa mahari. Kuna familia ambazo zinajua mabinti zao ni chief prostitutes na bado zina matarajio kuna nice guy atakuja kulipa mahari.

Men must awake, before you start arranging paying bride price for any woman consider if she worth it, judge her by her past, her body counts, attitude, submission etc. The higher the demages the more reason you need to abort mission.

If you ended up spending heavily to pay the bride price of women that other men opened with biscuit, soda, chips, beer etc you are a failure. You failed your parents, your failed your family, you failed your ancestors.

Hata Mungu alivyotaka kumleta mwanae duniani hawa single mothers, makahaba, 30+ old cargos, hookpians na bed to bed midfielders wote aliwaona lakini akamchagua bikira amzae mwanae

Mwanamke ambae hana bikira wakati hajaolewa uyo ni kahaba. Najua kuna makahaba watapaniki, nawasubiri kwenye comment section. Leo sitaki amani na kahaba yoyote humu ndani
Hhhhhh
 
MIMI HUWA NAPINGA MAHARI KWA SABABU ZIFUATAZO:-

1. Naiona kama ni udhalilishaji dhidi ya mwanamke. Kwamba, mwanamke anafanywa au kulinganishwa na bidhaa. Fikiria jinsi ndugu wa pande zote wanapokutana na kuvutana kiasi cha mahari. Inafikia wakati mzazi analinganisha matunzo, malezi na hata gharama za kumsomesha mtoto wa kike (ilihali hata mzazi wa mtoto wa kiume kahangaika kwa mambo hayohayo). Mwanamke kama binadamu hapaswi kulinganishwa/kuthamanishwa kama bidhaa, maana thamani ya ubinadamu hailinganishwi na chochote.

2. Katika jamii nyingi, baba wa mtoto wa kiume ndiye mwenye jukumu la kutoa mahari, yaani hutumia mali zake (mifugo au fedha) kumlipia/kuwalipia vijana wake wa kiume ili wapate wanawake. Ndiyo sababu kwa jamii za Wakurya kuwa na watoto wengi wa kiume ilionekana ni hasara (enzi hizo) kwa mzazi kwa kuwa atapunguza mifugo zizini mwake. Lakini kuwa na watoto wengi wa kike ilionekana ni neema kwa mzazi kwa kuwa ataongeza mifugo zizini mwake. Sasa leo hii mambo yamebadilika; utakuta kijana wa kiume anatafuta mahari kivyake, kisha anampa mzazi wake ili akamlipie mahari. Kwa hiyo hapo kijana anakuwa amejiozesha na siyo kaozeshwa na mzazi wake! Kwangu mimi hili jambo haliko sawa.

3. Ulipaji mahari toka upande mmoja kwenda mwengine (ME to KE), inapingana na dhana ya usawa wa kijinsia. Kama tunaamini jinsia zote ni sawa, kwa nini mmoja amlipe mwingine?

4. Urejeshaji mahari kwa ndoa zilizovunjika. Hapa ndipo huwa nashangaa; kwamba wanandoa wakishindwa kuishi na kuamua kutengana, eti muoaji hudaiwa arejeshe mahari, kana kwamba hiyo mahari iliwekwa hapo kama rehani...ipo siku itarejeshwa...!!! Jambo hili hunikera saaanaaaaa!

NAUNGANA NA WOTE WANAOPINGA MWANAMKE KULIPIWA MAHARI. MIMI SIKUWAHI KULIPA MAHARI NA TUNAISHI VIZURI MIAKA 26 SASA..NA KWA WATOTO WANGU WA KIKE SITEGEMEI KUPOKEA MAHARI....
Ulimuoaje sasa bila ya kulipa mahari au ndio mumechukuana tu na kuishi pamoja
 
Mahari zawadi ya yule anayeolewa.
Sio hongo.
Hongo hutolewa kwa kitu cha haramu sio halali.
Rekebisha kauli,mahari anatakiwa apokee mwanamke kama zawadi yake,uamuzi wake kama awape wazee ama laah.
Hivi sheikh nikuulize mfano mwanamke ametaka mathalan mahar yke yawe gauni ,,alafu upande mwegne unakuta mababu na wajomba na mabibi wanataka million moja sasa hapo kama wewe unachomokaje
 
Hivi sheikh nikuulize mfano mwanamke ametaka mathalan mahar yke yawe gauni ,,alafu upande mwegne unakuta mababu na wajomba na mabibi wanataka million moja sasa hapo kama wewe unachomokaje
Sasa hapo mkuu kitakachotakiwa kufanyika ni busara.
Kwasababu asili ya familia zetu za kiAfrika wazee ndio wanapenda kuamua kuhusu mahari.
Hivyo kwasababu wewe unataka jambo lako lipite,na binti hawezi kukinzana na wazee wake,inakubidi ukubaliane na hali tu lipa ili ndoa ipite.
 
Back
Top Bottom