Mada moto: Ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umependaye?

Mada moto: Ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umependaye?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa ndio uowee

Je, ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umpendaye na ukasitisha au kuaharibu malengo kwa hofu ya kuogopa tuu kwamba akiniacha siwezi pata kama huyu hivyo inabidi ukubali kwa shingo upande lakini moyoni hauko tiyali?
 
Ndio ni sahihi. Maana dalili ya upendo moja wapo ni kuogopa kupoteza kile ulicho nacho na kutumia nguvu zako zote kuendelea kukibakisha kwenye imaya yako
 
Kwani ukiingia kwenye ndoa hakuna talaka ya kuweza kufanya wanandoa waachane?
 
Si sahii!

Maana kama anakupenda kweli atakuvumilia uweke mambo yako sawa
 
sio sahihi

kwasababu maamuzi yako hayajatendeka kwa wakati sahihi Bali ni katika hali ya kujilazimisha
 
Back
Top Bottom