Inapofika wakati mpenzi wako anataka kuolewa au anataka kuoa na wewe ukijiangalia hauko tiyali kutokana sababu mbalimbali labda bado unasoma,hujajipanga vizuli, au kuna mambo unataka uyaweke sawa ndio uowee
Je, ni sahihi kuingia kwenye ndoa kwa hofu ya kuogopa kumpoteza umpendaye na ukasitisha au kuaharibu malengo kwa hofu ya kuogopa tuu kwamba akiniacha siwezi pata kama huyu hivyo inabidi ukubali kwa shingo upande lakini moyoni hauko tiyali?