MADA MOTO : Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
14 August 2026
University of Dar es Salaam
UDSM
Tanzania

Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

View: https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc
wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani Afrika ambao unafanyika chuoni hapo leo agosti 14, 2026.

Miaka 20 ya kumbukumbu ya Prof Chachage Seithy Loth mwanzuoni nguli aliyesisitiza elimu ya chuoni ifike nje ya kuta nne za kumbi za mihadhara ili kuwafikiwa umma mpana wa wananchi.

Kwa ufikiri tunduizi aliokuwa nao Prof. Chachage zama hizi angeitwa mhaini, mchochezi, mhaini, mwanamapinduzi...

Waliohudhuria tukio la leo UDSM ni wengi wakiwemo.Prof. Nelson M. K. Boniface deputy vice chancellor research UDSM, Prof. Rwekaza Sympho Mukandala , Dr. Azaveli Lwaitama University Senior Lecturer at Josiah Kibira University College of Tumaini University ... Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Dr. Ng'Wanza Kamata,

Utafiti wa Prof. Wamba Dia Wamba kuhusu historia ya karne nyingi zilizoputa kuhusu chimbuko la vyuo vikuu na vyama vyao vya kitaalum kabla Kanisa halijaingilia uhuru wa kitaaluma...
 
14 August 2026

Prof. Kitila Mkumbo : Jamii Inapenda Demokrasia, Ila Haiutaki Utamaduni wa Kidemokrasia

View: https://m.youtube.com/watch?v=dut05NWfBK4

Chuo Kikuu cha Dar es salaama kupitia chama cha wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa kumbukizi ya miaka 20 ya Professa Chachage S.L Chachage ambapo mazungumzo hayo yanajikita juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani Afrika na ukweli. Prof. Kitila Mkumbo alikua akichangia katika mjadala huu
 
14 August 2026

UDASA NA UDOMASA WAJIONGEZA

'Mkipata Nafasi Msaidieni Mke Wangu', Mhadhiri UDOM Aliyepewa Kesi ya Ugaidi Alipotembelewa Gerezani

View: https://m.youtube.com/watch?v=Vzu2RBdzObw

Sakata la kisheria linalomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, kutokana na mihadhara yake chuo kikuu kufunguliwa kesi ya jinai ya ugaidi
 
14 August 2026
University of Dar es Salaam
UDSM
Tanzania

Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

View: https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc
wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani Afrika ambao unafanyika chuoni hapo leo agosti 14, 2026.

Miaka 20 ya kumbukumbu ya Prof Chachage Seithy Loth mwanzuoni nguli aliyesisitiza elimu ya chuoni ifike nje ya kuta nne za kumbi za mihadhara ili kuwafikiwa umma mpana wa wananchi.

Kwa ufikiri tunduizi aliokuwa nao Prof. Chachage zama hizi angeitwa mhaini, mchochezi, mhaini, mwanamapinduzi...

Waliohudhuria tukio la leo UDSM ni wengi wakiwemo.Prof. Nelson M. K. Boniface deputy vice chancellor research UDSM, Prof. Rwekaza Sympho Mukandala , Dr. Azaveli Lwaitama University Senior Lecturer at Josiah Kibira University College of Tumaini University ... Prof. Kitila Alexander Mkumbo, Dr. Ng'Wanza Kamata,

Utafiti wa Prof. Wamba Dia Wamba kuhusu historia ya karne nyingi zilizoputa kuhusu chimbuko la vyuo vikuu na vyama vyao vya kitaalum kabla Kanisa halijaingilia uhuru wa kitaaluma...

Yupo huyu Wamba Dia Wamba!
 
Imekuwa nchi ya kamata kamata wahadhiri wa vyuo elimu ya juu, youtubers, wasanii, wanaharakati, wanasiasa, wakulima n.k wote tumewekwa katika gereza kubwa la wazi lisilokuwa na kuta wala askari jela
 
Yataisha tuu
 
Back
Top Bottom