MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Km ni wakiume huwa wanachelewaga wakati mwingine
 
Huwa nasikia mtoto akiwa na kilimi anachelewa kuongea. Huwa ni kinyama flani kinakuwepo mdomoni.
Kuna jirani yangu nae ana mtoto wa 7yrs ila hajui kuongea kbs. Mwaka jana ndio waligundua hilo tatizo akawa amekatwa na sasa ndio kidogo anaongea japo kwa shida.
 
Hapo nyumbani hamuongei lugha nyingi nyingi?
Hapana mkuu lugha inayotumika ni moja tu kiswahili,ktk hilo sina shaka nalo labda shule niliyompeleka kama watatumia English ila mazingira ya nyumbani lugha ni moja tu
 
Hapana mkuu lugha inayotumika ni moja tu kiswahili,ktk hilo sina shaka nalo labda shule niliyompeleka kama watatumia English ila mazingira ya nyumbani lugha ni moja tu
Ataongea tu ila mtafutie application za watoto za kuongea acheze nazo kuna moja inaitwa lingo kids
 
Mimi wangu pia ana umri huo huo hajajua vizuri kuongea kilichonipa moyo zaidi anajua mama, baba , bibi kuhesabu 1- 20 nafikiri ni uzito pia kuna mtoto wa shemeji yangu kachanganya kuzungumza akiwa na umri wa miaka 5 hivyo jitahidi awe anapata kampani muda mwingi ya watoto wenzie utaona improvement.
 
mkuu ukienda kwa mtaalamu naomba utupe mrejesho.mimi wakwangu ana mwezi mmoja ila chini ya ulimi inaonekana kile kinyama kinachoshikilia ulimi kimekaribia sana na ncha ya ulimi kiasi kwamba hadi ncha ya ulimi imebonyea na kutengeneza alama ya "M"
 
Mpeleke hospitali kwa uchunguzi ndugu
 
Nimeshasema maelezo hapo unataka nikufafanulie kitu gani tena? achanganye Asali kijiko 1 na chumvi ya unga kidogo sana awe anamsgulia mtoto kwenye ulimi kila siku mara 1 kwa muda wa siku 7 ataweza kusema.
nashukur ngoja nikamfanyie wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…