Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Kwa mwenzi unamuwekea kwenye kikombe anakunywa kama juiceMaji ya dafu Kiasi gani na kwa muda gani ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mwenzi unamuwekea kwenye kikombe anakunywa kama juiceMaji ya dafu Kiasi gani na kwa muda gani ndugu
Asante ndugu nitajaribu na hiiKwa mwenzi unamuwekea kwenye kikombe anakunywa kama juice
Sio ushirikin dear mpeleke mtoto shule pia hospital wakwangu nae hivyohivyoNimejaribu kwenda kwa watumishi lakini wameniambia mtoto mwenyewe hana tatizo. Ila kwenye kizazi changu nimewekewa bomu na wachawi ili kila uzao upate shida na wakaniombea hakuna kilichopatikana.na mdogo wake aliemfuata hana tatizo hilo kabisa.na kiufupi mimi ni mkristuninaeishi kikristu kabisa.
Mpaka sasa nimechanganyikiwa nimsaidiaje huyu mwanangu nae aongee kama watoto wenzie sipati jibu.ila kama utakuwa kuna watumishi wa mungu ambao unaamini ni watu wa mungu(maana wengi sasa ni matapeli) unaowafahamu naomba nisaidie kunielekeza kufika nikawaone nipo tayari.mimi nipo dar es salaam.asante.
Vipi maendeleo ya mwanao mwanangu ana miaka minne anatabia kama ulizotajaHapana bado Anajitenga kulala sio mbaya mwanzo alikuwa anasumbua sana usiku kucha kuhusu kula anachagua sana mboga bila nazi hali tena anapenda wali mbaya zaidi hatafuni anameza tu.ni mtundu pia anapenda kushika vitu mkononi na kuchezea vitabu
Wa kwangu wote wanachelewa sana kuongea, sioni kama ni tatizo, huyo mdogo ana mwaka na miezi saba, anachoweza ni Baba na Dada basi, but sina shida najua atakuja kuongea hadi basi. Sitaki preshaKwa mwenzi unamuwekea kwenye kikombe anakunywa kama juice
Kuna tatizo pia mkuu ujawahi kukutana na mtu umri umeenda ila angiongea huwezi muelewa yaani mdomo kutamka maneno vizuriWa kwangu wote wanachelewa sana kuongea, sioni kama ni tatizo, huyo mdogo ana mwaka na miezi saba, anachoweza ni Baba na Dada basi, but sina shida najua atakuja kuongea hadi basi. Sitaki presha
Yes najua, ila nilivyofuatlia hata Mama yao alichelewa sana kuongea kwahio huwa sina wasiwasiKuna tatizo pia mkuu ujawahi kukutana na mtu umri umeenda ila angiongea huwezi muelewa yaani mdomo kutamka maneno vizuri
Wangu anaminne ila kama wako jaopo nimempeleka shule anaanza kuchangamka shule ni muhinu Dana , usikate tamaaHuyu Mwanangu Wa Kiume , Ana Umri Wa miaka miwili na Miezi Miwili, lakini Ajabu Hadi Sasa hajui kutamka Mama Wala baba Yeye Akishamka Ni kuguna Tu Na Kuimba hadi Siku Inaisha Ni Mhhh..... Aahhhh
.... Eeeeh.......!!!
Majirani Wanamsema Vibaya Kuwa Mtoto Mkubwa lakini Anazidiwa Hata Na Wadogo wenzie yaani Hajui kuongea chochote, hii Inanipa Stress Mimi Kama Mzazi Najisikia Vibaya Sana Na Sijui Nifanyeje Ili Mwanangu Aongee
Naombeni Mnisaidie Jinsi gani Nitamfanya mwanangu Ajue Kutamka Maneno kama baba n.k
Vip kwa sasa mtoto anaongea?Huyu Mwanangu Wa Kiume , Ana Umri Wa miaka miwili na Miezi Miwili, lakini Ajabu Hadi Sasa hajui kutamka Mama Wala baba Yeye Akishamka Ni kuguna Tu Na Kuimba hadi Siku Inaisha Ni Mhhh..... Aahhhh
.... Eeeeh.......!!!
Majirani Wanamsema Vibaya Kuwa Mtoto Mkubwa lakini Anazidiwa Hata Na Wadogo wenzie yaani Hajui kuongea chochote, hii Inanipa Stress Mimi Kama Mzazi Najisikia Vibaya Sana Na Sijui Nifanyeje Ili Mwanangu Aongee
Naombeni Mnisaidie Jinsi gani Nitamfanya mwanangu Ajue Kutamka Maneno kama baba n.k
Pepo utasikia kwenye bomba walaiKamkate kilimi
AutismHivi ndivyo alivyokua mwanangu, naye alichelewa kuongea tena alikua hajichanganyi na watoto wengine. Hata ukimuweka kwenye kundi la watoto baada ya muda alikua anajitenga.
Sasa hivi yuko std 5 anaongea lakini bado ana tabia za pekee. Hebu jaribu kumuangalia ulimi wake yaani chini ya ulimi kukoje. Wakati mwingine waweza kuta ulimi umeshikiliwa na kinyama/ sijui kinaitwa tongue tie .
Mtoto wa miezi mitatu anatakiwa kunyonya maziwa ya mama pekeyake. Fuatilia kama mama anamyonyesha mtoto ipasavyo.Mwanangu mpaka sasa anamiezi mitatu hapo mwanzo alikua mwenene asaivi amekonda nikwanini
Mkuu vipi ulifanikiwa kumtibia mtotoNimejaribu kwenda kwa watumishi lakini wameniambia mtoto mwenyewe hana tatizo. Ila kwenye kizazi changu nimewekewa bomu na wachawi ili kila uzao upate shida na wakaniombea hakuna kilichopatikana.na mdogo wake aliemfuata hana tatizo hilo kabisa.na kiufupi mimi ni mkristuninaeishi kikristu kabisa.
Mpaka sasa nimechanganyikiwa nimsaidiaje huyu mwanangu nae aongee kama watoto wenzie sipati jibu.ila kama utakuwa kuna watumishi wa mungu ambao unaamini ni watu wa mungu(maana wengi sasa ni matapeli) unaowafahamu naomba nisaidie kunielekeza kufika nikawaone nipo tayari.mimi nipo dar es salaam.asante.
Mkuu unaweza nisaidia namba ya huyo therapistDah pole saana mkuu, kuna uzi niliuketaga humu (in 2016) ukiulizia hili jambo. Na mm lilinsibu ila nimempatia speech therapist ndo naona anaanza improve.
Pole saana
pole sana,tupe mrejesho wa mtoto wako hadi sasa alipofikianawashukuru sana wote mlionisaidia mawazo maana nimechanganyikiwa na hili tatizo.ninayafanyia kazi nitaleta updates.mungu awabariki.nakaribisha mawazo zaidi.
naomba kuuliza,mtoto alizaliwa na kilo 3 na point 2,kliniki yake ya kwanza akawa na kilo 5 point 3,na kliniki yake ya pili akawa na kilo 8 point 2,je kwa ongezeko ilo la kilo 2 ndani ya mwezi na ongezeko la kilo 3 mwezi unaofuata ni sawa mtoto kwa sasaivi ana miezi miwili na nusuMtoto wa miezi mitatu anatakiwa kunyonya maziwa ya mama pekeyake. Fuatilia kama mama anamyonyesha mtoto ipasavyo.