MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Hello Mimi nilifata ushauri kutoka huku kwamba mtoto alochelewa kuongea dawa yake mizizi ya mbaazi tukafata na maelekezo jinsi ya kwenda kuchimba na kutumia,tulichemsha tukampa mtoto akanywa kwa muda ya siku 21 lakin bado mtoto hajaonesha dalili ya kubadilika,mtoto ana tatizo now ana miaka mitano kasoro hajaongea ulimi mzito jaman ila kusikia anasikia tatizo lipo kwenye kuongea tu,anachojua yye ni mama tena anaitamka kwa shida kidogo na amo yan shkamoo, jaman naomben msaada wenu tufanyeje... . Asante [emoji4]
 
Sio ushirikin dear mpeleke mtoto shule pia hospital wakwangu nae hivyohivyo
 
Hapana bado Anajitenga kulala sio mbaya mwanzo alikuwa anasumbua sana usiku kucha kuhusu kula anachagua sana mboga bila nazi hali tena anapenda wali mbaya zaidi hatafuni anameza tu.ni mtundu pia anapenda kushika vitu mkononi na kuchezea vitabu
Vipi maendeleo ya mwanao mwanangu ana miaka minne anatabia kama ulizotaja
 
Kwa mwenzi unamuwekea kwenye kikombe anakunywa kama juice
Wa kwangu wote wanachelewa sana kuongea, sioni kama ni tatizo, huyo mdogo ana mwaka na miezi saba, anachoweza ni Baba na Dada basi, but sina shida najua atakuja kuongea hadi basi. Sitaki presha
 
Wa kwangu wote wanachelewa sana kuongea, sioni kama ni tatizo, huyo mdogo ana mwaka na miezi saba, anachoweza ni Baba na Dada basi, but sina shida najua atakuja kuongea hadi basi. Sitaki presha
Kuna tatizo pia mkuu ujawahi kukutana na mtu umri umeenda ila angiongea huwezi muelewa yaani mdomo kutamka maneno vizuri
 
Kuna tatizo pia mkuu ujawahi kukutana na mtu umri umeenda ila angiongea huwezi muelewa yaani mdomo kutamka maneno vizuri
Yes najua, ila nilivyofuatlia hata Mama yao alichelewa sana kuongea kwahio huwa sina wasiwasi
 
Wangu anaminne ila kama wako jaopo nimempeleka shule anaanza kuchangamka shule ni muhinu Dana , usikate tamaa
 
Vip kwa sasa mtoto anaongea?
 
Autism
 
Mkuu vipi ulifanikiwa kumtibia mtoto
 
Dah pole saana mkuu, kuna uzi niliuketaga humu (in 2016) ukiulizia hili jambo. Na mm lilinsibu ila nimempatia speech therapist ndo naona anaanza improve.
Pole saana
Mkuu unaweza nisaidia namba ya huyo therapist
 
nawashukuru sana wote mlionisaidia mawazo maana nimechanganyikiwa na hili tatizo.ninayafanyia kazi nitaleta updates.mungu awabariki.nakaribisha mawazo zaidi.
pole sana,tupe mrejesho wa mtoto wako hadi sasa alipofikia
 
Mtoto wa miezi mitatu anatakiwa kunyonya maziwa ya mama pekeyake. Fuatilia kama mama anamyonyesha mtoto ipasavyo.
naomba kuuliza,mtoto alizaliwa na kilo 3 na point 2,kliniki yake ya kwanza akawa na kilo 5 point 3,na kliniki yake ya pili akawa na kilo 8 point 2,je kwa ongezeko ilo la kilo 2 ndani ya mwezi na ongezeko la kilo 3 mwezi unaofuata ni sawa mtoto kwa sasaivi ana miezi miwili na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…