Ni vema wakajaribu kumuweka karibu na watoto wenzake lkn anaweza bado akajitenga hata ukifanya hivi. Pia ajitahidi kumuandikisha kwenye klabu mbali mbali zinazokutanisha watoto wa umri wake.Poleni sana, hakikisheni anakuwa muda mrefu na watoto wenzie na hata kama mnaweza kuwaomba hao watoto muda mwingi wajaribu kumuongelesha labda inaweza kusaidia naye akaanza kuongea. Hakikisheni pia hana matatizo ya ukiziwi. Kila la heri.
Hahahahahaha duhAhsante sana rafiki, lol!!! hahahahaha wala sikudhani wataalamu unaozungumzia ni hao wa ndumba na ngaye lol!!!
Kabanga,nashukuru kwa ushauri wako,Watoto wa umri wake wapo,ila tatizo ni kwamba mara nyingi hapendi kujichanganya na wenzake,hata tukimlazimisha kucheza na wenzake bado atatafuta namna ya kuwa pekee.Je hapo unapoishi kuna watoto wengine? ikiwa hakuna watoto wengine waweza kuwa sababu .....
MziziMkavu ametuelimisha wengi, mimi pia nina tatizo hilo, nitaenda jaribu maelekezo yake.Mzizi Mkavu,Nashukuru kwa Ushauri mzuri,Ntaufanyia kazi ushauri wako,ntakujulisha maendeleo yake.
Kabanga,nashukuru kwa ushauri wako,Watoto wa umri wake wapo,ila tatizo ni kwamba mara nyingi hapendi kujichanganya na wenzake,hata tukimlazimisha kucheza na wenzake bado atatafuta namna ya kuwa pekee.
Mpeleke uswazi.
kama una ndg uswazi mpeleke huko.
Bado anaenda miaka 4 sasa ikifika septVp anaendeleaje siku hzi?
Bado anaenda miaka 4 sasa ikifika sept
Hapana bado Anajitenga kulala sio mbaya mwanzo alikuwa anasumbua sana usiku kucha kuhusu kula anachagua sana mboga bila nazi hali tena anapenda wali mbaya zaidi hatafuni anameza tu.ni mtundu pia anapenda kushika vitu mkononi na kuchezea vitabuAmeanza kucheza na wenzake au bado anajitenga, akicheza na vitu uwa anavipanga foleni kama magari anayapanga kwa mstari, anaweza kukaa chini kwa dakika zaidi ya 5, au anakuwa anahangaika na kurukaruka saa zote yaani hyperactive au mtundu aliyepitiliza, je Usiku analala vizuri na kula uwa anakula au anachagua sana aina ya vyakula?