MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

Mtoto wako hana tatizo akbisa.

Tatizo ni mazingira kwa sababu mtoto ili aongee haraka ni lazima akae muda mrefu na watu wa lugha husika.

Mwanao kama anacheza na watoto wenzake mnooo basi itakuwa ngumu kongea haraka kwa sababu hao watoto nao hawapatii maneno.

Mtoto kama anakaa nyumba ambayo hakuna pirika za maisha ni ngumu kuomgea kwa sababu mtoto hujifunza na matukio.

Ndio maana watoto wa kizaramu huwa wanaongea sana kwa sababu wanaishi kwenye mchanganyiko wa watu hivyo ni rahisi kwao kujifunza mapema lugha.

Mtoto acheze na watu wajuzi wa lugha,kqma mtoto anakaa na wstu wakimya basi atachelewa kuomgea.

Kuna msemo huwa katika falsafa yangu ya kumkuza mtoto kiligha inasema " mtoto ataweza kuongea lugha ambayo anaisikia tu,na atakiongea kile anachokisikia tu"

Usitegemee mtoto aseme naomba maji wakati hajawahi kusikia hiyo kauli katika mazingira anayoishi ikitamkwa mara kwa mara.

Mtoto usitegemee anasema "baba unnarudi wapi" wakati hajawahi kumsikia mama yake akikuuliza wewe baba.

Mtoto hawezi kusema "hili ni shati" wakati hawawahi kusikia neno hilo likitamkwa mara kwa mara.

Jitahidi ili awe anaongea lazima akae na watu waongeaji.

Lakini akikaa na watu wa matusi mtoto naye matusi hayatamuisha.

Huo umri wa mwanao hapo ndo hujifunza yote mazuri na mabaya na mbaaya zaidi hajui baya wala zuri,na baya zaidi ukimuambia hili baya haelewi yeye naajua kuiga tu.

Solution sasa awe anakaa sehemu salama ya tabia na asikilize sana watu wakiongea sio mtoto wafungie ndani na mama ake tu yeye anachosikia "acha hiyooo"

Takuchapaaaa

Toka hapaaaa.

Kulaaaa
Emebidi nicheke maana umegusa mulemule mkuu na umenipa faraja, pamoja na mashauri ya wadau wengine nimejua mazingira niliyopo yananikost mwanangu ni anakosa kampani ya watoto waongeaji

Nilikua na wazo la kumpeleka daycare ila sasa itabidi Ninunue vitabu vya picha na hadithi kila siku niwe naandaa angalau nusu sasa kumfundisha
 
Huyu Mwanangu Wa Kiume , Ana Umri Wa miaka miwili na Miezi Miwili, lakini Ajabu Hadi Sasa hajui kutamka Mama Wala baba Yeye Akishamka Ni kuguna Tu Na Kuimba hadi Siku Inaisha Ni Mhhh..... Aahhhh
.... Eeeeh.......!!!

Majirani Wanamsema Vibaya Kuwa Mtoto Mkubwa lakini Anazidiwa Hata Na Wadogo wenzie yaani Hajui kuongea chochote, hii Inanipa Stress Mimi Kama Mzazi Najisikia Vibaya Sana Na Sijui Nifanyeje Ili Mwanangu Aongee

Naombeni Mnisaidie Jinsi gani Nitamfanya mwanangu Ajue Kutamka Maneno kama baba n.k
Boss ondoa shaka ni kawaida saana
 
Emebidi nicheke maana umegusa mulemule mkuu na umenipa faraja, pamoja na mashauri ya wadau wengine nimejua mazingira niliyopo yananikost mwanangu ni anakosa kampani ya watoto waongeaji

Nilikua na wazo la kumpeleka daycare ila sasa itabidi Ninunue vitabu vya picha na hadithi kila siku niwe naandaa angalau nusu sasa kumfundisha
Atachelewa pia kujifunza mana utakuwa unamfundisha kama mkubwa na hiyo njia itakuwa ngumu.

Mtoto anatakiwa ajifunze kutoka katika matukio halisi anayoyaona huku matukio hayo yakitokea na lugha ikizungumzwa.

Yani mtoto anatakiwa aone mtu juma ameshikwa shati alafu anasema niachee kweli shati linaachwa mtoto anajua kwamba kumbe neno "niachee linatakiwa lifuatiwe na kitendo fulani.

Mtoto aone junior anaambiwa na mama ake nenda alafu anaenda,siku ingine ukimuambia wewe mtoto nenda anajua afanye nini.

Kumbuka kuwa mtoto anaelewa maneno ambayo yanaendana na vitendo,maana ya lugha kwa mtoto hutafsiriwa kwa vitendo.

Na ndio maana mtoto ukimpa neno geni labda la kizungu "go there " atakushangaa kwa sababu neno hili hajawahi kuona kitendo chake.

Kwa hyo kumfundisha sidhani kama utakuwa msaada mkubwa kiviile bali muache mtoto anaone matukio mbali mbali ambayo yakitokea sambamba na lugha automatic mtoto atajifunza kupitia matukio hayo.

Anza kumsemesha taratibu kama vile " vaa viatu mwanangu" ukiona havai unamvalisha huku kitendo hiko kisichanganywe na kitendo chochote katikati.

Sio unamuambia vaa viatu alafu hajavaa kisha wewe unachukua maji unakunywa ana unampa maji anywe kisha baadae ndo unamvalisha no

Hapo atatafsiri kuwa vaa viatu ni kuanza kunywa maji kwanza.

Cha kufanya ukimuambia vaa viatu alafu hajaeelewa haraka unachukua viatu unamvisha anajua kwamba kumbe sauti hii ya "vaa viatu inanitaka nifanye kitendo fulani.

Lakini ukimfundisha kama mtu mzima unazidi kumpa ugumu.

Hakikisha wewe na mke wako huwa mnaongea huku maneno hayo yakifuatiwa na vitendo ambavyo munataka mtoto ajue.

Mfano ukienda kuwasha feni mwambie mwanao "kawashe feni" kama hajaelewa unaenda wewe unawasha au unampeleka mtoto mpaka kwenye feni unamuwashisha kisha unaonesha ishara kuwa umefurahia jambo hilo.

Kuna mtoto wa jirani alinipenda sana ni mtoto mdogo mno wa mwaka mmoja hivi alikuwa hajui kuongea lakini alikuwa akija nyumbani namuambia kawashe feni ile haelewi nampeleka hivyo hivyo mpaka ikawa akija tu nyumbani nikimuambia kawashe feni anaenda haraka kuwasha.

Mfunze tu kawaida relax usihangaike na mavitabu.

Tengeni muda mucheze na mtoto,pia apate watoto wenzie wanaojua kuongea japo kidogo itamsaidia na yeye kuongea.

Kuna dogo yeye alikuwa anabebwa na watu wakubwa tu mpaka alipofika miaka miwili ama mmoja nanusu basi akiongea na mtu yule mtoto huuliza kabisa "UKO POA " ?

Imagine mtoto anakuuliza hivyo unashangaa kwa sababu sio kauli za kitoto ila ndo kakulia katika kauli hizo
 
Mkuu i wish nisaidie bure maana nina knowledge kubwa sana ya kusaidia watoto, wazungu wametunoa sana tunamaarifa hayo......japo hizi shule hata kama bei ila inategemea na personality ya mwalimu, mwalimu ndio atakuwa msaada wa mtoto kipindi chote cha makuzi.....

mkeo akiwa anafanya shughuli ndogondogo mtoto akiwa karibu awe anajiongelesha like hapa naosha vyombo, hii ni rangi ya blue, hapa napika, huu ni mchele, mimi ni mama etc.......

Kwa nyimbo za english zinazosaidia mtoto kuongea na kuchangamka Ni Johny johny, The wheels on the bus, Twinkle twinkle little star, shake shake the mango tree, BINGO dog, Elephant elephant etc Hizo nyimbo huwa zinainvolve vitendo kuimarisha muscles za mwili na concentration pia zinakuwa fun ukijua kuziimba kwa kuchange tones.....

Hizo nyimbo zote zinapatikana Youtube mkuu

Mungu akusaidie mkuu.
Hongera sana mkuu [emoji1666]uko vizuri sana ,hujafikiria hata kuanzisha ka day care kako? ili wasio afford hayo ma ada ya mamilioni wakanufaika na huduma yako pia

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mwanangu Wa Kiume , Ana Umri Wa miaka miwili na Miezi Miwili, lakini Ajabu Hadi Sasa hajui kutamka Mama Wala baba Yeye Akishamka Ni kuguna Tu Na Kuimba hadi Siku Inaisha Ni Mhhh..... Aahhhh
.... Eeeeh.......!!!

Majirani Wanamsema Vibaya Kuwa Mtoto Mkubwa lakini Anazidiwa Hata Na Wadogo wenzie yaani Hajui kuongea chochote, hii Inanipa Stress Mimi Kama Mzazi Najisikia Vibaya Sana Na Sijui Nifanyeje Ili Mwanangu Aongee

Naombeni Mnisaidie Jinsi gani Nitamfanya mwanangu Ajue Kutamka Maneno kama baba n.k
Mkuu pole Nitafute mimi ili nipate kumtibia mwanano.
 
Atachelewa pia kujifunza mana utakuwa unamfundisha kama mkubwa na hiyo njia itakuwa ngumu.

Mtoto anatakiwa ajifunze kutoka katika matukio halisi anayoyaona huku matukio hayo yakitokea na lugha ikizungumzwa.

Yani mtoto anatakiwa aone mtu juma ameshikwa shati alafu anasema niachee kweli shati linaachwa mtoto anajua kwamba kumbe neno "niachee linatakiwa lifuatiwe na kitendo fulani.

Mtoto aone junior anaambiwa na mama ake nenda alafu anaenda,siku ingine ukimuambia wewe mtoto nenda anajua afanye nini.

Kumbuka kuwa mtoto anaelewa maneno ambayo yanaendana na vitendo,maana ya lugha kwa mtoto hutafsiriwa kwa vitendo.

Na ndio maana mtoto ukimpa neno geni labda la kizungu "go there " atakushangaa kwa sababu neno hili hajawahi kuona kitendo chake.

Kwa hyo kumfundisha sidhani kama utakuwa msaada mkubwa kiviile bali muache mtoto anaone matukio mbali mbali ambayo yakitokea sambamba na lugha automatic mtoto atajifunza kupitia matukio hayo.

Anza kumsemesha taratibu kama vile " vaa viatu mwanangu" ukiona havai unamvalisha huku kitendo hiko kisichanganywe na kitendo chochote katikati.

Sio unamuambia vaa viatu alafu hajavaa kisha wewe unachukua maji unakunywa ana unampa maji anywe kisha baadae ndo unamvalisha no

Hapo atatafsiri kuwa vaa viatu ni kuanza kunywa maji kwanza.

Cha kufanya ukimuambia vaa viatu alafu hajaeelewa haraka unachukua viatu unamvisha anajua kwamba kumbe sauti hii ya "vaa viatu inanitaka nifanye kitendo fulani.

Lakini ukimfundisha kama mtu mzima unazidi kumpa ugumu.

Hakikisha wewe na mke wako huwa mnaongea huku maneno hayo yakifuatiwa na vitendo ambavyo munataka mtoto ajue.

Mfano ukienda kuwasha feni mwambie mwanao "kawashe feni" kama hajaelewa unaenda wewe unawasha au unampeleka mtoto mpaka kwenye feni unamuwashisha kisha unaonesha ishara kuwa umefurahia jambo hilo.

Kuna mtoto wa jirani alinipenda sana ni mtoto mdogo mno wa mwaka mmoja hivi alikuwa hajui kuongea lakini alikuwa akija nyumbani namuambia kawashe feni ile haelewi nampeleka hivyo hivyo mpaka ikawa akija tu nyumbani nikimuambia kawashe feni anaenda haraka kuwasha.

Mfunze tu kawaida relax usihangaike na mavitabu.

Tengeni muda mucheze na mtoto,pia apate watoto wenzie wanaojua kuongea japo kidogo itamsaidia na yeye kuongea.

Kuna dogo yeye alikuwa anabebwa na watu wakubwa tu mpaka alipofika miaka miwili ama mmoja nanusu basi akiongea na mtu yule mtoto huuliza kabisa "UKO POA " ?

Imagine mtoto anakuuliza hivyo unashangaa kwa sababu sio kauli za kitoto ila ndo kakulia katika kauli hizo
Nimepata kitu cha ziada kwa nondo hizi mzazi yeyote ana kitu cha kuanza na mwanae mdogo
Asante sana ndugu
 
Kuwaongelesha watoto wachanga kila mara na wanavyoendelea kukua husaidia sana katika kuharakisha kuongea kwao kwa wengi wao. Usikute huyo dada wa kazi alikuwa hamuongeleshi kabisa.
Umenena vyema, tena inashauriwa watoto waanze kuongeleshwa tangu wakiwa tumboni. Mara tu mama anapogundua kuwa ni mjamzito ni vyema akaanza kuongea na kumwimbia mwanae aliyeko tumboni.
 
Nilimpeleka shule mwalimu akamtandika sababu mtoto haongei ila mtundu!! Inakuwa kama anafanya kile anataka yeye, baada ya kutandikwa na mwalimu aligoma shule!! Hakwenda tena mpaka umri ulipofika wa kuanza shule, tukamuanzisha upya!!

Walimu wa kibongo ni tatizo sana, wanapiga watoto!!!

Maskini thats bad..... how about umdownloadie tule tucartoons vinavyoimba ataanza polepole kujaribu kuwafuatizia but ikishindikana mwacheni kila mtoto ana pace yake katika ukuaji
 
Maskini thats bad..... how about umdownloadie tule tucartoons vinavyoimba ataanza polepole kujaribu kuwafuatizia but ikishindikana mwacheni kila mtoto ana pace yake katika ukuaji

Kumbuka zile nyingi ni English, anatakiwa ajue lugha ya taifa 😂😂😂
 
Siungi mkono huu ushauri aiseeee....
Mtoto wa kiTanganyika inapendeza akianza shule akiwa na umri wa walau miezi 30

Ni sawa pia, maoni hayafanani but pia nimesema shule za vidudu wale wanaotumia siku nzima kuimba na kucheza tu sijui ndo baby class kwa kizungu....
 
Nashkuru sana mkuu...inaumiza sana nafsi unapomuona mwanao anajaribu kukueleza kitu akiwa na furaha kisha wewe huelewi naye anategemea umjibu basi unabaki kujichekesha nayeye anabaki kukutizama usoni...ah ila ndiyo maisha tutafanyaje!
Maelezo yako yamenifanya niwe na simanzi mkuu, najisikiaga huzuni sana
 
Maelezo yako yamenifanya niwe na simanzi mkuu, najisikiaga huzuni sana
Mkuu,nakushukuru sana Mungu ni mwema mtoto sasa ana miaka saba kidogo kidogo anaweza kusema kitu ukamuelewa japokuwa kwa umri huo alitakiwa awe mbali zaidi ya ninavyomuona.
 
Jalibu kutumia google itakusaidia kupata taarifa mbali mbali. kama hii nimeipata "www.emedicinehealth.com"
Age 8-12 Months

By age 8 months, most babies can sit up without support. They also figure out how to roll down to their stomachs and return to a sitting position again. Some babies are in constant motion; they'll arch their necks and look around while on their stomachs and grab at their feet or objects while on their backs. All this activity is preparing them for crawling, which is usually mastered between 7-10 months. Crawling is important for the development of integrated communication between the 2 sides of the brain. Some babies never crawl but rather scoot on their bottoms or move on their stomachs, like an army crawl.

Babies become increasingly more mobile during this stage; now is the time to childproof so baby can explore and discover without the possibility of injury. Baby gates are important to block off stairs or rooms that could be dangerous (such as bathrooms).

After crawling is mastered, babies begin to pull themselves up to a standing position. They then begin to take some steps while holding on to something for support. This will change into cruising around the furniture. As their balance improves, babies may gradually take a few steps without holding on. Many babies' first steps are taken around 12 months, but earlier or later than this is completely normal.

By the end of this stage, babies begin to use the pincer grasp, using the thumb and first or second finger to pick up small objects. As babies learn how to open fingers, they are able to drop and throw things. Babies also more thoroughly investigate objects by shaking them, banging them, and moving them from hand to hand. Babies are interested in objects with moving parts, such as wheels and things that open and close. They also like to poke their fingers through holes.

Babies also show a lot of growth in their language development during this period. They begin to make recognizable syllables like "ma" or "da," which eventually turn into "mama" or "dada." They can also imitate speech sounds they hear others make. By age 12 months, many babies say at least one word (other than mama and dada) clearly. They understand the meaning of no and begin to follow simple commands. Babies communicate nonverbally by pointing, crawling, or gesturing toward desired objects. The can also initiate and play gesture games, such as peek-a-boo and pat-a-cake.

Babies learn object permanence, the concept that an object still exists when taken out of their sight, during this stage. For example, if a toy is hidden under a blanket, babies will pick up the blanket and search for it. Babies also learn that objects have functions besides being just something to chew on or bang with (such as a hair brush or phone).

Separation anxiety and stranger anxiety usually begin during this period and are a normal part of babies' emotional development. Separation anxiety occurs when parents leave a babies' sight, resulting in great distress with fussing and crying. Separation anxiety usually peaks between age 9-18 months and fades before their 2-year birthday. Stranger anxiety is a reaction of distress with an infant encounters a stranger.

By the end of this period, most babies have reached the following milestones:

Motor skills

* Get in and out of a sitting position independently

* Get on hands-and-knees position and crawl

* Pull self up to standing position, walk holding on to furniture, stand without support and, eventually, take a few steps without support and begin to walk

* Use pincer grasp (thumb and first finger)

* Place objects into container and take them out of container

* Begin to do more functional activities, such as hold a spoon or turn pages in a book

Language skills

* Say "mama" and "dada" and use these terms specifically referring to a parent

* Use exclamations such as "oh-oh!"

* Try to imitate words and may say first word

* Use simple gestures, such as shaking head for "no" or waving for "bye-bye"

* Play interactive gesture games, such as pat-a-cake and peek-a-boo

Social/Emotional skills

* Easily find hidden objects

* Use objects correctly such as holding phone up to ear or drinking from a cup

* Shy around strangers
 
Back
Top Bottom