Nimetoka kupiga roast na ugali na washikaji, tumekula kilo 3Ni haramu sio haramu?
Uharamu wake unatokana na nini?
Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali?
Je ndio nyama tamu zaidi duniani?
Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani?
Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi?
Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota?
Je ni kwanini mganga wa kienyeji hawezi kumuagiza mgonjwa amletee kitimoto?
Kwanini hii nyama ina majina mengi?
Mkuu wa meza
Kitimoto
Ashakum
Kwanini mapishi yake mengi sio majumbani?
Kavu
Roast
Choma
Mchemsho
Makange
Mshkaki
Nk
Walaji na wasio walaji karibuni kwa mjadala
Wanaposema Ashakum si matusi maanake ni nini?Ni haramu sio haramu?
Uharamu wake unatokana na nini?
Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali?
Je ndio nyama tamu zaidi duniani?
Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani?
Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi?
Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota?
Je ni kwanini mganga wa kienyeji hawezi kumuagiza mgonjwa amletee kitimoto?
Kwanini hii nyama ina majina mengi?
Mkuu wa meza
Kitimoto
Ashakum
Kwanini mapishi yake mengi sio majumbani?
Kavu
Roast
Choma
Mchemsho
Makange
Mshkaki
Nk
Walaji na wasio walaji karibuni kwa mjadala
Si ndio walikuwa karibu😂 na kwani waliendelea kuzalisna? They vanished in the sea🙄Kwanini Kristo aliyaamuru mapepo wachafu wawaingie nguruwe na si wanyama wengine?
Je hii ndio sababu nguruwe ni mchafu sana na hachagui chakula? Je uchafu husababisha utamu? Walaji wanaisifia kwa utamu
Astaghafillulah ushaniribia swaum hapa....nilikuwa nafanya mazoezi ya kufunga ramazan inayoanza karibuni ila itabidi nikafungulie kidogo walau kwa nusu kilo rosti kitunguu na ndizi mbili mshale hapa jirani kwa Mangi
Tafsida ni neno linalotumiwa kupunguza makali ya neno lingine. kwa kiingereza huitwa "euphemism". Mathalan, kujifungua badala ya kuzaa (kwa binadamu), ashakumu kujisaidia badala ya kunya/kukojoa, n.k.Wanaposema Ashakum si matusi maanake ni nini?
Mifupa yake ni dawa ya wanga na washirikinaMimi binafsi, tuache uhalali, uharamu.. uislam wangu..
Hata kama ningekuwa mkristu chair-fire nisingemla.. ila harufu yake siiwezi kabisa, nikipita sehemu anapikwa yule basi napata kichefu chefu.. bora harufu akiwa mzima kuliko ile amepikwa, napata kichefuchefu kabisa