makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ni jambo ambalo limesambaa sana, sijawahi jaribu, lakini harufu yake akiwa anapikwa sijui ndio anakaangwa aisee siiweziMifupa yake ni dawa ya wanga na washirikina
Ni jambo ambalo limesambaa sana, sijawahi jaribu, lakini harufu yake akiwa anapikwa sijui ndio anakaangwa aisee siiweziMifupa yake ni dawa ya wanga na washirikina
Asante sana nikiacha kuwa vegan nitaanza na mdudu1. Kwa mujibu wa TFDA Nyama ya Nguruwe, Nyama ya Mndege eg. Kuku, Na Nyama ya Samaki, ni Nyama Nyeupe ambazo zinafaa kuliwa kuliko Nyama Nyekundu eg. Ng'ombe. Mbuzi.
2. Yule Nguruwe aliyeharamishwa enzi hizo na Mitume amesha kufa yaani amefariki enzi hiyo.
Hawa wapya hawana Uharamu:
🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿Mwezi uliopita Kuna muislamu alichanganyikiwa baada ya kula poku,kuchanganyikiwa huko kulitokana na utamu wa poku aliyokula,shehe aliikunjia kiunoni kanzu yake akaanza kujigalagaza,kuimba,kunengua na kurukarukq kama juha
Kwa kitimotro utangoja sana lo!
1. Kwa mujibu wa TFDA Nyama ya Nguruwe, Nyama ya Mndege eg. Kuku, Na Nyama ya Samaki, ni Nyama Nyeupe ambazo zinafaa kuliwa kuliko Nyama Nyekundu eg. Ng'ombe. Mbuzi.
2. Yule Nguruwe aliyeharamishwa enzi hizo na Mitume amesha kufa yaani amefariki enzi hiyo.
Hawa wapya hawana Uharamu:
1. Kwa mujibu wa TFDA Nyama ya Nguruwe, Nyama ya Mndege eg. Kuku, Na Nyama ya Samaki, ni Nyama Nyeupe ambazo zinafaa kuliwa kuliko Nyama Nyekundu eg. Ng'ombe. Mbuzi.
2. Yule Nguruwe aliyeharamishwa enzi hizo na Mitume amesha kufa yaani amefariki enzi hiyo.
Hawa wapya hawana Uharamu:
Kuhalalisha na kuharamishaNi haramu sio haramu?
Uharamu wake unatokana na nini?
Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali?
Je ndio nyama tamu zaidi duniani?
Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani?
Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi?
Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota?
Je ni kwanini mganga wa kienyeji hawezi kumuagiza mgonjwa amletee kitimoto?
Kwanini hii nyama ina majina mengi?
Mkuu wa meza
Kitimoto
Ashakum
Mdudu nk
Kwanini mapishi yake mengi sio majumbani?
Kavu
Roast
Choma
Mchemsho
Makange
Mshkaki
Nk
Walaji na wasio walaji karibuni kwa mjadala
![]()
24K reactions · 323 shares | Uniform Skater Talaskater on Reels
www.facebook.com
Nguruwe waliona Bora wafe kuliko kukaa na majini LAKINI nyie mnayafuga MAJINI. Je ninyi na Nguruwe huoni Nguruwe WANA AKILI ZAIDI KULIKO NINYI?Kwanini Kristo aliyaamuru mapepo wachafu wawaingie nguruwe na si wanyama wengine?
Je hii ndio sababu nguruwe ni mchafu sana na hachagui chakula? Je uchafu husababisha utamu? Walaji wanaisifia kwa utamu
ngurue aliezaliwa leo hakuhusika na wale waliopewa pepo uzuri hata wale ngurue baada ya kupewa pepo unadhani mgurue wengine katika mji ule waliachwa kuliwa?Kwanini Kristo aliyaamuru mapepo wachafu wawaingie nguruwe na si wanyama wengine?
Je hii ndio sababu nguruwe ni mchafu sana na hachagui chakula? Je uchafu husababisha utamu? Walaji wanaisifia kwa utamu
Wanasema yule bwana aliweka order alafu akakosa basi kwa hasira na wadhfa wake kwa jamii yake akaamua kuharamisha😂. Sijui n kweli?Kwanini Mungu aumbe mnyama mtamu halafu akukataze kumla?
😂😂😂 hasira za mkiziWanasema yule bwana aliweka order alafu akakosa basi kwa hasira na wadhfa wake kwa jamii yake akaamua kuharamisha😂. Sijui n kweli?