Mada ya kitimoto: Nyama inayajadiliwa na kutawaka mijadala mingi duniani

1. Kwa mujibu wa TFDA Nyama ya Nguruwe, Nyama ya Mndege eg. Kuku, Na Nyama ya Samaki, ni Nyama Nyeupe ambazo zinafaa kuliwa kuliko Nyama Nyekundu eg. Ng'ombe. Mbuzi.

2. Yule Nguruwe aliyeharamishwa enzi hizo na Mitume amesha kufa yaani amefariki enzi hiyo.
Hawa wapya hawana Uharamu:
 
Mwezi uliopita Kuna muislamu alichanganyikiwa baada ya kula poku,kuchanganyikiwa huko kulitokana na utamu wa poku aliyokula,shehe aliikunjia kiunoni kanzu yake akaanza kujigalagaza,kuimba,kunengua na kurukarukq kama juha
 
Asante sana nikiacha kuwa vegan nitaanza na mdudu
 
Mwezi uliopita Kuna muislamu alichanganyikiwa baada ya kula poku,kuchanganyikiwa huko kulitokana na utamu wa poku aliyokula,shehe aliikunjia kiunoni kanzu yake akaanza kujigalagaza,kuimba,kunengua na kurukarukq kama juha
🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Nimetoka kukichapa mitaa ya lindi mitefuni, wale mliokua mnalijua lile chimbo letu limerudi pale mitefuni wadau tusogee
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/18LbuKPW9C/
 
Kuhalalisha na kuharamisha
Kwa misingi ya dini (hasa Uislamu na Uyahudi), kuhalalisha au kuharamisha vyakula si uamuzi wa wanadamu, bali ni ufunuo kutoka kwa Mungu unaofikishwa kupitia mitume. Ndiyo maana mfuasi wa dini fulani anawajibika kufuata mafundisho ya mtume anayemuamini, si kwa kulazimishwa bali kwa hiari ya imani.
Katika Uislamu, kwa mfano, si nguruwe tu aliyekatazwa bali vyakula vilivyoharamishwa ni pamoja na maiti (nyama ya mnyama aliyekufa bila kuchinjwa), damu, kilichochinjwa kwa jina lisilo la Mungu na wanyama walao nyama.
Mtu anayeridhia imani fulani anakubali pia sheria zake, asiyeamini, halazimishwi kufuata sheria hizo lakini pia hana msingi wa kuzipinga kama batili kwa waliyozichagua kwa imani.
 
Kwanini Kristo aliyaamuru mapepo wachafu wawaingie nguruwe na si wanyama wengine?
Je hii ndio sababu nguruwe ni mchafu sana na hachagui chakula? Je uchafu husababisha utamu? Walaji wanaisifia kwa utamu
Nguruwe waliona Bora wafe kuliko kukaa na majini LAKINI nyie mnayafuga MAJINI. Je ninyi na Nguruwe huoni Nguruwe WANA AKILI ZAIDI KULIKO NINYI?
 
Kwanini Kristo aliyaamuru mapepo wachafu wawaingie nguruwe na si wanyama wengine?
Je hii ndio sababu nguruwe ni mchafu sana na hachagui chakula? Je uchafu husababisha utamu? Walaji wanaisifia kwa utamu
ngurue aliezaliwa leo hakuhusika na wale waliopewa pepo uzuri hata wale ngurue baada ya kupewa pepo unadhani mgurue wengine katika mji ule waliachwa kuliwa?

ngurue wapo kabla ya yesu na mtume walikuwepo kabla ya mwanadamu kuumbwa ikiwa mungu aliumba ngurue akamtunuku nyama tamu afu ndio aseme asiliwe??

Mdudu anapigwa sana vita na haviishi tangu enzi na enzi sababu hata wanaopiga vita nao wanakula mdudu kwa siri.

Ngoja kwanza leo niwahi kuagizia rost na ugali mkubwa
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    65.8 KB · Views: 13
Mjadala wake ni bongo tu kwa sababu ya mchanganyiko mkubwa wa Wagalatia na Kobaz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…