Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka raha. Tatizo siyo NYOMI bali pale walipoibuka MALOZI watekaji,waliyonujua wapinzani kuenda CCM na waliyoshuhudia jaribio la mauaji ya Lisu kipindi kile leo kuwa MALAIKA, Tatizo siyo NYOMI la mikutano bali ni yule Mtumishi anaye safiri na UPEPO na aliyekuwepo kipindi kile cha utekaji wa SAA NANE na akanyamaza leo anakemea hadharani ili kumkwamisha Samia. Sasa tusubiri hiyo siku yenu ya kuandamana inayosheheneshwa na wale Wakimbizi waliopo Marekani. Mie nitamka naenda KUTICK narudi kwa TV kuangalia kinachojiri duniani.Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.
Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni.
Ingawa nilikuwa bado sijaisoma ile mada ilizungumzia sababu zipi hasa zilizo wavuta watu; nimjuwavyo mkuu 'Stuxnet' nachelea kusema atakuwa anajigamba sana juu ya kupendwa kwa mgombea wa CCm; pamoja na sera anzo waeleza waTanzania.
Hii ni haki yake kusema; lakini nijuavyo hali ya kisiasa iliyopo nchini wakati huu; ni busara kufanya uchambuzi wa kina kuhusu hali ya mikutano hiyo inavyo onekana kwa picha.
Bila kutaka kuandika kwa kirefu zaidi, maoni yangu ni kwamba hizi nyomi za mikutano ya Samia zingekuwa na maana kama pangekuwepo na mlinganishio na mikutano ya vyama vingine; hususani CHADEMA.
Je wakati huu mikutano ya CHADEMA ingekuwa na hali gani ikilinganishwa na hii ya Samia Sluhu Hassan? Huu ungekuwa ni mlinganisho mzuri wa kutolea uchambuzi makini kuhusu kupendwa kwa Samia Suluhu Hassan na sera zazake; kuliko wapinzani wake wakuu.
Pili, je tunajuwa ni mbinu gani zinazotumika kuwapata waTanzania hawa kwenye mikutano hiyo? Hawa waTanzania wamekuja kwa hiari zao, au kuna njia za chini chini za kuwalazimisha kwenda kwenye mikutano hiyo; ni nini nafasi za viongozi wa mitaa na wengineo katika kuhimiza hata wanachama wasikose kuhudhuria kwenye mikutano hiyo!
Inajulikana hizo ni mbinu zilizo andaliwa hata siku ya uchaguzi kuhakikisha waTanzania wanasukumwa kwenda kupiga kura
Kwa hiyo, ile mada ya mkuu 'Stuxnet' ilitakiwa ijadiliwe kisayansi; tupate na ushahidi halisi ni kipi hasa kinacho tokea huko mitaani kuhusu maandalizi ya mikutano hii na kuhakikisha nyomi kubwa inakuwepo.
Sikuhariri. Naomba radhi kama kuna makosa ya kiuandishi.
Yaani Samia sasa anakosa hata watu wenye uwezo wa kujenga hoja akaeleweka, hadi kufikia mtu duni kama ulivyo wewe?Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka raha. Tatizo siyo NYOMI bali pale walipoibuka MALOZI watekaji,waliyonujua wapinzani kuenda CCM na waliyoshuhudia jaribio la mauaji ya Lisu kipindi kile leo kuwa MALAIKA, Tatizo siyo NYOMI la mikutano bali ni yule Mtumishi anaye safiri na UPEPO na aliyekuwepo kipindi kile cha utekaji wa SAA NANE na akanyamaza leo anakemea hadharani ili kumkwamisha Samia. Sasa tusubiri hiyo siku yenu ya kuandamana inayosheheneshwa na wale Wakimbizi waliopo Marekani. Mie nitamka naenda KUTICK narudi kwa TV kuangalia kinachojiri duniani.
Maana ya yote haya ni moja tu.Jana Samia imebidi akiri ukweli ambao umekuwa mchungu kwa wanaccm wengi kuukiri, kasema ni kweli wanabeba wanachama wao kwenda kuwasikiliza, ila kasema hawachukui toka wilaya nyingine, bali hiyo hiyo yenye kampeni husika.
Ukweli ni kuwa wanachukua hadi wa mikoa mingine kwenda kujaza uwanja, ili ionekane wanakubalika. Cdm wamefanya vizuri sana kugoma kushiriki huo upuuzi.
Siku ya kupiga kura nayo mtalazimishwa kwenda, ili mkalikandamize taifa letu kwa kulazimishwa!Sisi wa tassaf ni lazima tuende
Hao Tasaf wanakaribia 10ml, Inashangaza sana!Sisi wa tassaf ni lazima tuende
Tatizo siyo mafuriko,tatizo pale zilipo anza zile porojo za NO reform no election wengi waliitakidi kwamba kampeni zita dorora. Tatizo siyo nyomi la Samia kwenye mikutano yake bali lipo pale kwa wale wakimbizi waliyopo Marekani walivyoshupalia kuzidodesha kampeni lakini wapi,watu wanaitika mpaka raha. Tatizo siyo NYOMI bali pale walipoibuka MALOZI watekaji,waliyonujua wapinzani kuenda CCM na waliyoshuhudia jaribio la mauaji ya Lisu kipindi kile leo kuwa MALAIKA, Tatizo siyo NYOMI la mikutano bali ni yule Mtumishi anaye safiri na UPEPO na aliyekuwepo kipindi kile cha utekaji wa SAA NANE na akanyamaza leo anakemea hadharani ili kumkwamisha Samia. Sasa tusubiri hiyo siku yenu ya kuandamana inayosheheneshwa na wale Wakimbizi waliopo Marekani. Mie nitamka naenda KUTICK narudi kwa TV kuangalia kinachojiri duniani.
Sababu zipi?.Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.
Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni.
Ingawa nilikuwa bado sijaisoma ile mada ilizungumzia sababu zipi hasa zilizo wavuta watu; nimjuwavyo mkuu 'Stuxnet' nachelea kusema atakuwa anajigamba sana juu ya kupendwa kwa mgombea wa CCm; pamoja na sera anzo waeleza waTanzania.
Hii ni haki yake kusema; lakini nijuavyo hali ya kisiasa iliyopo nchini wakati huu; ni busara kufanya uchambuzi wa kina kuhusu hali ya mikutano hiyo inavyo onekana kwa picha.
Bila kutaka kuandika kwa kirefu zaidi, maoni yangu ni kwamba hizi nyomi za mikutano ya Samia zingekuwa na maana kama pangekuwepo na mlinganishio na mikutano ya vyama vingine; hususani CHADEMA.
Je wakati huu mikutano ya CHADEMA ingekuwa na hali gani ikilinganishwa na hii ya Samia Sluhu Hassan? Huu ungekuwa ni mlinganisho mzuri wa kutolea uchambuzi makini kuhusu kupendwa kwa Samia Suluhu Hassan na sera zazake; kuliko wapinzani wake wakuu.
Pili, je tunajuwa ni mbinu gani zinazotumika kuwapata waTanzania hawa kwenye mikutano hiyo? Hawa waTanzania wamekuja kwa hiari zao, au kuna njia za chini chini za kuwalazimisha kwenda kwenye mikutano hiyo; ni nini nafasi za viongozi wa mitaa na wengineo katika kuhimiza hata wanachama wasikose kuhudhuria kwenye mikutano hiyo!
Inajulikana hizo ni mbinu zilizo andaliwa hata siku ya uchaguzi kuhakikisha waTanzania wanasukumwa kwenda kupiga kura
Kwa hiyo, ile mada ya mkuu 'Stuxnet' ilitakiwa ijadiliwe kisayansi; tupate na ushahidi halisi ni kipi hasa kinacho tokea huko mitaani kuhusu maandalizi ya mikutano hii na kuhakikisha nyomi kubwa inakuwepo.
Sikuhariri. Naomba radhi kama kuna makosa ya kiuandishi.
Unayo akili timamu, au wewe ni kichaa?Sababu zipi?.
Mnawasomba Watanzania kwenda kuangalia Wasanii.
Alafu mnaita Nyomi??.
Nilisha kupachika jina la "uungwana", mkuu 'Joka'...Polisi ndio wameingilia kati na kuwazuia Chadema wasifanye kampeni za No Reforms No Election.
..Uchaguzi huu umepooza na ni wa upande mmoja, Ccm.
..Uchaguzi ungekuwa wa ushindani na wa haki nyomi zingekuwa kubwa kwa vyama vyote.
..Kungekuwa na ushindani hata Ccm wangejiongeza kwa kuwa makini zaidi katika kampeni zao, na bila shaka wangepata nyomi kubwa zaidi bila kutumia pesa na nguvu.
Wewe mpenda udaku huwa hukosekani kwenye mada kama hizi😎Hao Tasaf wanakaribia 10ml, Inashangaza sana!
Samia angekuwa sahihi kama angesema "Anaongoza MATEKA".