Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

Hivi unaandika kwa ujasiri kabisa kwamba Ile mikutano ni wananchi wa maeneo husika wanakwenda kujaza ile mikutano?
 

..kwa hali ilivyo ktk kampeni hizi hata wana Ccm wamevunjika moyo kwenda kupiga kura.
 
..kwa hali ilivyo ktk kampeni hizi hata wana Ccm wamevunjika moyo kwenda kupiga kura.
Hili sasa, mkuu 'Joka', ndilo jambo ambalo hasa tungeweza kulijadili na kulipa ufafanuzi, ingesaidia sana.

"Watavunjikaje moyo..." wakati mikutano ya kampeni inajaza nyomi kiasi inavyo onyehwa?

Tafsiri ya nyomi hizi ni kwamba siku ya kupiga kura ni hawa hawa watajitokeza kwa wingi kwenda kumpigia kura mtu wao!

Mada inajaribu kudadisi ni nini hasa maana ya nyomi hizi, na zinatokana na kitu gani.
Hadi sasa sijapata jibu la kuweza kujuwa kwamba "...wana ccm wamevunjika moyo..." kwa njia yoyote ile.

Hawa wakivunjika moyo, taifa letu litakuwa na matumaini mapya ya kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…