Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Shukrani mkuu.Badala mngeweka ndege wapatikano Tanzania na majina yao mnang'ang'ania kiingereza. Mwewe kwa kiswahili.
na huyu tai ndo nani nilijua ndo eagle (mwewe),
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu.Badala mngeweka ndege wapatikano Tanzania na majina yao mnang'ang'ania kiingereza. Mwewe kwa kiswahili.
Ninavyojua mimi tai hawana tofauti sana na mwewe, japo tai huwa ni wakali, wakubwa na wana kama rangi nyeupe wakati mwewe ni mweusi. Sina uhakika na maelezo yangu kwani ndege wengi nawajua kwa majina ya kilugha.Shukrani mkuu.
na huyu tai ndo nani nilijua ndo eagle (mwewe),
Huyu ndo anachakura vifaranga?
Ndiyo. Sisi tuliozaliwa vijijini tumenyang'anywa nyama sana na huyu. Unakuwa umebeba nyama toka buchani, anakuvizia anateremka kwa kasi ya ajabu na kupaa nayo. Wana uwezo mkubwa wa kujua umebeba nyama.Huyu ndo anachakura vifaranga?
Si inasemekana mwewe anakula vitu fresh alivyowinda mwenyeweNdiyo. Sisi tuliozaliwa vijijini tumenyang'anywa nyama sana na huyu. Unakuwa umebeba nyama toka buchani, anakuvizia anateremka kwa kasi ya ajabu na kupaa nayo. Wana uwezo mkubwa wa kujua umebeba nyama.
HaaBadala mngeweka ndege wapatikano Tanzania na majina yao mnang'ang'ania kiingereza. Mwewe kwa kiswahili.
Hee sio mwewe tena?Haa
Hawataki Kutuandikia Ndege Huyu Anaitwa Hondo Hondo Mlezi Wa Wana