Mada ya ndege

Mada ya ndege

Shukrani mkuu.
na huyu tai ndo nani nilijua ndo eagle (mwewe),
Ninavyojua mimi tai hawana tofauti sana na mwewe, japo tai huwa ni wakali, wakubwa na wana kama rangi nyeupe wakati mwewe ni mweusi. Sina uhakika na maelezo yangu kwani ndege wengi nawajua kwa majina ya kilugha.
 
1739464514370.jpeg
1739464528844.jpeg
 
Huyu ndo anachakura vifaranga?
Ndiyo. Sisi tuliozaliwa vijijini tumenyang'anywa nyama sana na huyu. Unakuwa umebeba nyama toka buchani, anakuvizia anateremka kwa kasi ya ajabu na kupaa nayo. Wana uwezo mkubwa wa kujua umebeba nyama.
 
Si inasemekana mwewe anakula vitu fresh alivyowinda mwenyewe
Inakuwaje ananyanganya nyama..
 
Back
Top Bottom