Mada ya vilevi vingine

Kurumbua... Nimepata msamiati mpya

Jr[emoji769]
 
Kulumbua hili neno nilikua nalisikia kwa bibi zangu wa Kimanyema, wakianza kuwasimanga mabinti wasiopenda ugali wao ni kulumbua lumbua tuchipsi na tusambusa,

Napenda sana kulumbua, chumbani kwangu lazima kuwe na chocolate, crips, biscuit, hapa sasa hivi nakula ubuyu mkali wa pilipili huku nachat.
 

Hapo kwenye ubuyu wa pilipili ushanijaza mate ya uchu kinywani mwangu ujue..

Hapa nishalumbua ndizi mbili, muuza ice cream wa bakhresa kapita kanilingishia kuna mpya za tikiti nikaruka nayo moja! Nimegida na juice ya parachichi! Naona dunia inaniendea sawa sawia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…