Mada ya vilevi vingine

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yummy,
Halafu hizo icecream za tikiti nimeziona jana itabidi nionje,
Ni tamu? Zina ladha kama ya tikiti kweli?
 
Sijui kwanini wengi wenu hampendi kale kamchezo[emoji23][emoji23]...au ndo kanaingia hapo kwenye kupenda kulala[emoji23]
1) Napenda kulala

2) Kusikiliza na kucheza mziki

3) Napenda kufatilia fashion things mfano kuna fashion Tv wanaonesha nguo nguo za ajabu unique yaani,viatu nk naenjoy sanaa

4) Napenda kula pia[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yummy,
Halafu hizo icecream za tikiti nimeziona jana itabidi nionje,
Ni tamu? Zina ladha kama ya tikiti kweli?View attachment 1386023

Mate yanimwaika mie! [emoji39][emoji39][emoji39]

Ni tamu ladha ya tikiki imo halaf kwa mbali kama maziw hivi, basi ni burudani tu ya kinywa.

Nawe karibu juisi ya rozela! πŸ₯€
 
Wengine ulevi wao huu hapa

Jr[emoji769]
 
Unakung'uta "weed" tartiiib halafu unashushia (wash down with) balimi extra lager plus k-vantπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…