Mada ya wanyama

Kipindi Cha seriously dry season kunatokeaga competition of food kwa wanyama walao nyama coz mawindo yanakua nadra!

Wanaanza kulana unakuta Simba akimuotea chui anamla,chui akimuotea duma anamla au kundi la fisi likiongozwa na jike likubwa wanambananisha Simba zee wanamla!!
Hata mbwa mwitu sometimes Wana carnibalism
 
Kinachonifanya niungane na swala 5 kuamini kuwa nguruwe ni mnyama aliyelaaniwa ni kitendo cha mnyama huyu kushindwa kuangalia angani
Kalaaniwa kwani pig alifanya nini?
Kushindwa kuangalia angani siyo issue kubwa ni suala la anatomy ya misuli ya shingo yake kutoweza kuruhusu kuangalia angani like-wise hata wewe kushindwa kuangalia kisogo chako hakuharalishi kuwa wewe umelaaniwa. Ni suala la uamuzi wa manufacturer mwenyewe.
 
Na kwa sababu fisi ana taya ngumu,ana uwezo Wa kula hata baadhi ya mifupa hivyo kinyesi chake kikikauka ni good source of calcium kwa baadhi ya wanyama wengine kama twiga.

Nature nj shida Bwashee.
Mungu fundi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…