black short
JF-Expert Member
- Nov 16, 2019
- 519
- 974
Coursework za SUA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coursework za SUA
Fisi yeye bwana mazingira kazi yake ni kusafisha maeneo,kwa hivyo hata akikuta fisi mwenzie kafa anamla vizuri tu.In most cases...hapana...sanasana atauwa na kuacha hagusi kabisa....
Na kwa sababu fisi ana taya ngumu,ana uwezo Wa kula hata baadhi ya mifupa hivyo kinyesi chake kikikauka ni good source of calcium kwa baadhi ya wanyama wengine kama twiga.
Kalaaniwa kwani pig alifanya nini?Kinachonifanya niungane na swala 5 kuamini kuwa nguruwe ni mnyama aliyelaaniwa ni kitendo cha mnyama huyu kushindwa kuangalia angani
Hivi huyu ndio wa kuitwa Ngekewa kwa kiswahili?Capybara. Panya mkubwa zaidi duniani.
View attachment 1716164View attachment 1716165View attachment 1716165
Namuona hanaga tabu hata na wanyama wakali huyu ni full peaceHivi huyu ndio wa kuitwa Ngekewa kwa kiswahili?
Adui yake ni jaguar na binadamu tu ndio tunaowatumia Kama chakula. Baadhi ya maeneo hapa nyumbani tunamwita ndeziNamuona hanaga tabu hata na wanyama wakali huyu ni full peace
Picnicing 🤣