Mada ya wanyama

Ndani ya zoo
Your browser is not able to display this video.
 
Anapumuaje alificha kichwa mchangani?
 
Katendwa na jinsia KE, ameona ni bora akatishe maisha...
 
Hii nimeipenda sana...
 
Omary Mohammed, Hamza Rajab na Mussa Juma wamekamatwa baada ya kukutwa wakimchuna mbwa ngozi kwa ajili ya kuandaa mishikaki katika kituo cha mabasi Msamvu mkoani Morogoro. Tukio hilo limewashitua wengi ambao wamekiri hununua mishikaki kwa wafanyabiashara hao.

HT: The Citizen.
 
Wanapata maumivu sana tu tatizo hawana mtu wa kuwajali na kuwahudumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…