The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nimepenpda huu msemo "kacute kumbe ka killer" umenitia hofup sn huu msemo.Siku zote najua Komodo wanapatikana Indonesia na maeneo mengine ya Asia pekee, sikujua kama wapo Australia.
Afrika na Asia lazima tuwe na death toll kubwa kutokana na umbali wa vituo vya afya, upatikanaji wa anti venom na gharama yake.
Kuna ndege anaitwa Cassowary, yupo Australia pia, picha yake ukimuona ni kacute kumbe kakiller.
Sent using Jamii Forums mobile app