Mada ya wanyama

kama kuna komba anaishi kwenye mti karibu na nyumba yako, ukiacha glass ya bia nje usiku, asubuhi utakuta komba alishajisevia.[emoji23]
 
Kibongobongo huyu ndege ni baharia mwenye ghetto lenye carpet la manyoya na bonge la sofa, huenda na subwoofer pia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wana maisha yao na mipango kama sisi tu, wana familia, wana makundi,wana viongozi wana maadui na marafiki
Siyo kila wanyama wana makundi.

Wanyama wengi ni very territorial na hawapendi kuchangamana wanyama wengine hukaa kwa makundi kama vile simba, mbwa mwitu na fisi.

Wanaokaa kwa makundi hua haiwezekani simba wa kundi hili wakakutana na wa eneo jingine halafu zikaiva. Ni lazima zipigwe, nafikiri katika big cats ni simba tu ndiye anakaa kwa makundi wengine wote ni kila mmoja kivyake.

Wanyama wengi hukutana kipindi cha kupandana tu na baadhi ya wanyama, mfano nyoka (mtoe rock python na baadhi kama bush master) au sea turtle wakishataga mayai ndiyo hawarudi tena hilo eneo.

Hence hiki kichanga kitakua bila familia surviving on instincts. In the wild kwa wastani katika vitoto vinne ni kamoja tu katafikia utu uzima hii low survival rate inaenda kwa wanyama wote. Rock python atataga mayai wataanguliwa watoto zaidi ya 20 lakini watakaofikia utu uzima hawatozidi 5.
 
Mnyama mwenye highest success rate kwenye kuwinda ni duma ila anadhulumiwa most of their kills.

So fisi wanaweza tega sehemu kusubiri duma aue kisha wanaenda kumpokonya.
 
Wakikua wote unafikiri tungeishi hapa duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Kingai na Goodluck

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hebu leta source ya kusapoti kwamba kinyonga hujipasua kwa kupanda juu ya mti ili azae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…