Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #461
kama kuna komba anaishi kwenye mti karibu na nyumba yako, ukiacha glass ya bia nje usiku, asubuhi utakuta komba alishajisevia.[emoji23]Pen tailed tree shrew, kipanya kidogo , nadhani ni jamii ya komba, kinachopiga gambe siku nzima.
![]()
Kanaishi kwenye minazi na kakinywa nectar iliyooza (ferment) ya maua ya miti hiyo (bertam palm). Hiyo nectar inaweza fikia alcohol content ya ya 3-4%,
. Nilisikia kuwa komba (bushbaby) nao ni wapenzi wa pombe, kama kuna komba anaishi kwenye mti karibu na nyumba yako, ukiacha glass ya bia nje usiku, asubuhi utakuta komba alishajisevia.