Mada ya wanyama

Kwahiyo hao watoto wa duma wanaishi kwa gharama za Nyegere au sio, yn kwa kiswahili tunawaita chawa wa Nyegere.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nyikani kugumu. Ni mbinu tu ya kuepuka kuliwa na wanyama wengine.

Ni kama vipepeo wenye mabawa yenye alama kama macho ya ndege mkali kama tai au bundi ili kuogopesha mijusi na vindege vitakaotaka kuwala.
 


Picathartes - ndege mzuri sana. Wameishi misituni Congo Basin na West Africa zaidi ya miaka milioni 40. Inasikitisha kuwa wanaelekea kutoweka kwa sababu za shughuli za binadamu. 40 MILLION YEARS wapo πŸ˜” na tutawapoteza.
Kwa kulinganisha, binadamu wa sasa tupo duniani kama miaka laki mbili tu. Wao wanatuona kama viumbe wa juzi tu.
 
Inasikitisha kuwa wanaelekea kutoweka kwa sababu za shughuli za binadamu. 40 MILLION YEARS wapo [emoji17] na tutawapoteza.[emoji848][emoji25]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…