_KINGO_
JF-Expert Member
- Apr 17, 2021
- 333
- 1,907
😀😀😀 nyikani kugumu. Ni mbinu tu ya kuepuka kuliwa na wanyama wengine.Kwahiyo hao watoto wa duma wanaishi kwa gharama za Nyegere au sio, yn kwa kiswahili tunawaita chawa wa Nyegere.
Ni kama vipepeo wenye mabawa yenye alama kama macho ya ndege mkali kama tai au bundi ili kuogopesha mijusi na vindege vitakaotaka kuwala.