Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

Kwahiyo hao watoto wa duma wanaishi kwa gharama za Nyegere au sio, yn kwa kiswahili tunawaita chawa wa Nyegere.
😀😀😀 nyikani kugumu. Ni mbinu tu ya kuepuka kuliwa na wanyama wengine.

Ni kama vipepeo wenye mabawa yenye alama kama macho ya ndege mkali kama tai au bundi ili kuogopesha mijusi na vindege vitakaotaka kuwala.
1639551263631.png
 
1639552687943.png


Picathartes - ndege mzuri sana. Wameishi misituni Congo Basin na West Africa zaidi ya miaka milioni 40. Inasikitisha kuwa wanaelekea kutoweka kwa sababu za shughuli za binadamu. 40 MILLION YEARS wapo 😔 na tutawapoteza.
Kwa kulinganisha, binadamu wa sasa tupo duniani kama miaka laki mbili tu. Wao wanatuona kama viumbe wa juzi tu.
 
View attachment 2044835

Picathartes - ndege mzuri sana. Wameishi misituni Congo Basin na West Africa zaidi ya miaka milioni 40. Inasikitisha kuwa wanaelekea kutoweka kwa sababu za shughuli za binadamu. 40 MILLION YEARS wapo [emoji17] na tutawapoteza.
Kwa kulinganisha, binadamu wa sasa tupo duniani kama miaka laki mbili tu. Wao wanatuona kama viumbe wa juzi tu.
Inasikitisha kuwa wanaelekea kutoweka kwa sababu za shughuli za binadamu. 40 MILLION YEARS wapo [emoji17] na tutawapoteza.[emoji848][emoji25]
 
Back
Top Bottom