Mada ya wanyama

Simba hauwi watoto wake,ila akimkuta jike na watoto wa dume jingine huwaua na kuzaa wa kwake,sabab kubwa n huwa anahisi ile damu ambayo siyo ya kwake itakuja kumpindua na kumuua baadae.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Simba hauwi watoto wake,ila akimkuta jike na watoto wa dume jingine huwaua na kuzaa wa kwake,sabab kubwa n huwa anahisi ile damu ambayo siyo ya kwake itakuja kumpindua na kumuua baadae.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Simba kupinduliwa kupo pale pale. Hata ndugu aliozaliwa nao au wanae.

Simba jike hurudi kwenye heat once watoto wakiuawa, simba jike hujitenga kwa muda wakati akilea watoto kabla hajawaintroduce kwenye pride.

Siku anayokuja kuwaintroduce kwenye pride simba baba akifeli kuwajua watoto kama wake huua ilik kumrudisha simba jike kwenye heat. Now wanyama hujuana kupitia scent so this lion knows the scent of his lioness na anajua alimpa mimba yet when she comes back with kids anafail kuwajua?
 
Mm nmesema nnachokifaham mkuu,if unajua zaidi sawa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha

Cuckoo jana nacheki kawatupa watoto wote kwenye kiota akabaki mwenyewe

Sasa nachoshangaa huyu ndege mama wa wale watoto hashtuki tu kuwa analisha mtoto sio wake? Halafu hakujisumbua kuwatafuta wanae waliotupwa[emoji849][emoji849]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye anaona mayai yake labda nyoka kayala
Cha ajabu rangi ya mayai ni tofauti ila kwa kuwa ni akili za ndege basi tumhurumie tu
Hata binadamu kwenye taasisi nyingi cuckoos wapo kutwa kutuomba rushwa [emoji23][emoji23]
 
Hapa ninapoishi hawa na green mamba wapo kibao

Ila huyo wamemuonea tu kumuuwa
Huyo kitaalamu anaitwa Rufous beaked snake na hana sumu kali inayoweza kuuwa

Huwa wanawinda zaidi mchana wanyama wadogo wadogo

Mimi ni mpenzi wa nyoka sana
 
Sio koboko yule ni mshali au yule spitting cobra wale ni washali.
 
Komba ni walevi hatari.. miaka ya nyuma kabisa tunahamia kigamboni sehemu moja inaitwa mjimwema enzi hizo baado(miaka ya 99 to 2000 mwanzoni) niliwafaidi hawa viumbe, kuna mmoja alianguka mchana yaana kanaonekana kamelewa kabisa [emoji23]

Night unasikia kelele ukipig tochi kwenye mnazi unakuta katulia anafanya yake.. walikuwa wanatembea saana kwenye nyaya za umeme pale mtaani.
 
Mimi ningekuwa huyu ndege madem nisingepata maana kupangilia geto sijui [emoji23]
 
Bika shaka australia ndio taifa lenye wadudu wenye sumu kali kuliko lolote lile, ukifatilia utaona katika wadudu wenye sumu kali basi asilimia kubwa wanatokea huko.
 
100% uko sahihi katika hili.
 
Mkuu hi ni fix, kinyonga hazai kwa namna hiyo ni hadithi za utoto, leta ushahidi juu y hiki chief.
 
Ahhh kweli akili za ndege za kindezi[emoji16]
 
Hahaha

Hizo pombe anazinywea wapi?
 
Wanasema huwa wanatafuna madume baada ya tendo ili apate nguvu(msosi mwilini) kwa kipindi hiki cha kujiandaa kupata watoto.
 
Nimeishi Kigamboni kuanzia 2013 mpaka 2017 bado Komba walikuepo wa kutosha na tabia yao ya ulevi juu ya nyaya za umeme
 
Huyu mjomba akifanya hheeee!!(akiunguruma) unaweza kusikia hata zaidi ya umbali wa kilometa 1/2 tena ni radius hiyo..

Mara nyingi hufanya hivyo kutangaza himaya yake, kuwatahadharisha simba dume wengine wasio na familia, wasiingie katika himaya yake, ile sauti huonesha ukubwa wake, aliye mbali huko anajua huyu mwamba haingiliki au huyu poa tu tunaenda kuruka nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…