Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,460
- 2,908
Simba hauwi watoto wake,ila akimkuta jike na watoto wa dume jingine huwaua na kuzaa wa kwake,sabab kubwa n huwa anahisi ile damu ambayo siyo ya kwake itakuja kumpindua na kumuua baadae.Simba anahusudu ngono. Jike akijifungua hutakiwa kulea watoto hivyo hawezi kushirikitendo kwa kipindi hicho. Simba dume akiona hivyo anachofanya ni kuua wale watoto ili mama awe free na yeye aendelee kupiga mambo yake.
Mnyama mwingine mpenda ngono ni dolphin, dolphin wao hubaka na ubakaji wao hauishii kwa dolphins wenzao wanabaka kila wanachoweza kukibaka. Kwenye documentary moja dolphin wawili walimbaka seal mmoja mpaka seal akafa.
Na hao dolphins waliendelea na ubakaji saa 2 baada ya yule Seal kufa.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app