makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ushawahi sikia wagema minazi, ambayo huwa inatumika kutengeneza pombe ya mnazi, Mnazi kule juu kabisa huwa unatoa sijui tuite nectar, ina kilevi sasa wao ndio wanapenda vile.Hahaha
Hizo pombe anazinywea wapi?
Basi kwa mimi hapo naona kama wameisha, miaka hiyo ilikuwa balaa, usiku ni sauti za komba, hasa kipindi kile mji bado saa 1 tu kila mtu ndani kwake, saa 2 mji kimyaaa.Nimeishi Kigamboni kuanzia 2013 mpaka 2017 bado Komba walikuepo wa kutosha na tabia yao ya ulevi juu ya nyaya za umeme
Ooooh ok..Ushawahi sikia wagema minazi, ambayo huwa inatumika kutengeneza pombe ya mnazi, Mnazi kule juu kabisa huwa unatoa sijui tuite nectar, ina kilevi sasa wao ndio wanapenda vile.
Picha ya komba plseNimeishi Kigamboni kuanzia 2013 mpaka 2017 bado Komba walikuepo wa kutosha na tabia yao ya ulevi juu ya nyaya za umeme
Konki kabisa.. ukikaona macho yake tu, unajua haka ni kalevi kupindukia.Ooooh ok..
Kwahiyo anakunywa kitu original
Hebu nirushie vipicha vyake nicheke mieKonki kabisa.. ukikaona macho yake tu, unajua haka ni kalevi kupindukia.
anajitoa hayo mabawa na kucha na midomo kwa kutumia nini?[emoji840]️Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu yanayomuumiza na kumchukua muda mrefu..
[emoji840]️Akifikia umri wa miaka 40, makucha yake magumu na makali yanakosa uwezo wa kunyakua chakula..
[emoji840]️Mdomo wake uliochongoka unapinda, mabawa yake yanakuwa mazito na kunata kwenye kifua chake hivyo kumfanya kuwa mzito kuruka na kuwa mwenye kasi ndogo..
Katika hali hiyo ndege huyo hubakiwa na maamuzi mawili;
[emoji841]️Aidha akubali kufa au afanye mabadiliko katika mwili wake ili aendelee kuishi miaka 30 iliyobakia..
[emoji841]️Akichagua kufanya mabadiliko kwenye mwili wake humchukua siku 150 sawa na miezi 5, hivyo huenda katika kilele cha mlima mrefu na kujificha katika pango ambapo watu na wanyama wengine wanaoweza kumzuru hawafiki..
[emoji841]️Ndipo huanza kujivua kucha, midomo na mbawa zake zilizozeeka huku akisikilizia maumivu makali, baada ya mabadiliko hayo hurudi katika hali yake ya mwanzo ya kuweza kuruka kwa kasi na kupata chakula chake kizuri (fresh meat)..View attachment 2060092
na mdomo wenyewe atautoaje sasaMdomo
dah sawa bwana,hivi tai anaitwaje kwa kingerezaAnaubna katikati ya mwamba
Kameza nini huyu