Mada ya wanyama

Mada ya wanyama

Screenshot_20220110-034350.jpg
 
Mkuu habari Mimi ni nimekuwa nakufatilia thread zako kwa muda wa miaka mingi toka miaka hiyo hadi Leo nimeona umebarikiwa na unacho kipaji cha kipekee hasa katika masuala ya kiroho na ulimwengu mwingine nahitaji msaada kama utakuwa tayari kunisaidia Nina mwanangu wa kiume ana mwaka mmoja na miezi minne toka azaliwe amekuwa n mtoto wa kuugua na kila uchao maisha yake mengi n kuugua nimeshajaribu kumpeleka kwa waganga tofauti ila bado hali ni ile ile mtoto paka sasa hatambai wala hataki kusimama meno ndiyo ameanza kuota mwezi huu na mpaka sasa ilibidi tumepeleke kwenye maombi ya mwamposa japo pia hakuna uhafadhali kivile ni vingi vya kuongea kuhusu huyu mtoto kama hutojali mkuu nisaidie tuwasiliane japo mwanangu apone pesa imekuwa haikai yote Inaenda kwenye matibabu yake mkuu ambayo pia hamna tumaini nakuomba mkuu nisaidie
 
TANZIA[emoji29]

Panya wa kiume kutoka Tanzania, Magawa ambaye mwaka 2020 alitunukiwa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini nchini Cambodia, amekufa akiwa ni panya Mzee mwenye umri wa miaka minane ambao ni umri mkubwa kwa panya.

Mwezi November mwaka jana Magawa alitimiza umri wa miaka minane na alistaafu pia mwaka jana kutokana na uzee wake kwakuwa alianza kupunguza kasi ya kutegua mabomu.

Magawa alizaliwa Tanzania November 5,2014 akiwa na uzani wa KG 1.2 na urefu wa Sentimita 70 na hadi anakufa amenusa mabomu na silaha nyingine zaidi ya 100.

Magawa amefia nchini Cambodia kwakuwa baada ya kustaafu hakurejeshwa Tanzania na amekufa usiku wa kuamkia Jumapili ya juzi.
#MillardAyoUPDATES
 
Unyanyasaji wa wanyama: “Panya Magawa hajawahi kukutana na panya wa kike, maisha ya mafunzo yali-focus kwenye kwenda kuokoa maisha ya watu kwa hiyo hakupata muda wa kukutanishwa na panya wa kike” - Dr. Pendo Msegu, mwalimu wa Panya Magawa
IMG-20220114-WA0345.jpg
 
Mkuu habari Mimi ni nimekuwa nakufatilia thread zako kwa muda wa miaka mingi toka miaka hiyo hadi Leo nimeona umebarikiwa na unacho kipaji cha kipekee hasa katika masuala ya kiroho na ulimwengu mwingine nahitaji msaada kama utakuwa tayari kunisaidia Nina mwanangu wa kiume ana mwaka mmoja na miezi minne toka azaliwe amekuwa n mtoto wa kuugua na kila uchao maisha yake mengi n kuugua nimeshajaribu kumpeleka kwa waganga tofauti ila bado hali ni ile ile mtoto paka sasa hatambai wala hataki kusimama meno ndiyo ameanza kuota mwezi huu na mpaka sasa ilibidi tumepeleke kwenye maombi ya mwamposa japo pia hakuna uhafadhali kivile ni vingi vya kuongea kuhusu huyu mtoto kama hutojali mkuu nisaidie tuwasiliane japo mwanangu apone pesa imekuwa haikai yote Inaenda kwenye matibabu yake mkuu ambayo pia hamna tumaini nakuomba mkuu nisaidie
Pole sana kwenu wazazi kwa kuuguza, Mungu awape uvumilivu zaidi.
 
Unyanyasaji wa wanyama: “Panya Magawa hajawahi kukutana na panya wa kike, maisha ya mafunzo yali-focus kwenye kwenda kuokoa maisha ya watu kwa hiyo hakupata muda wa kukutanishwa na panya wa kike” - Dr. Pendo Msegu, mwalimu wa Panya MagawaView attachment 2081138
Pengine hakupenda tu au labda walimuhasi!!
Ile kitu ukipenda unaweza Susa kazi mpaka upewe ndio uendelee na umagawa wako
 
Back
Top Bottom