Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu habari Mimi ni nimekuwa nakufatilia thread zako kwa muda wa miaka mingi toka miaka hiyo hadi Leo nimeona umebarikiwa na unacho kipaji cha kipekee hasa katika masuala ya kiroho na ulimwengu mwingine nahitaji msaada kama utakuwa tayari kunisaidia Nina mwanangu wa kiume ana mwaka mmoja na miezi minne toka azaliwe amekuwa n mtoto wa kuugua na kila uchao maisha yake mengi n kuugua nimeshajaribu kumpeleka kwa waganga tofauti ila bado hali ni ile ile mtoto paka sasa hatambai wala hataki kusimama meno ndiyo ameanza kuota mwezi huu na mpaka sasa ilibidi tumepeleke kwenye maombi ya mwamposa japo pia hakuna uhafadhali kivile ni vingi vya kuongea kuhusu huyu mtoto kama hutojali mkuu nisaidie tuwasiliane japo mwanangu apone pesa imekuwa haikai yote Inaenda kwenye matibabu yake mkuu ambayo pia hamna tumaini nakuomba mkuu nisaidie
Pole sana kwenu wazazi kwa kuuguza, Mungu awape uvumilivu zaidi.Mkuu habari Mimi ni nimekuwa nakufatilia thread zako kwa muda wa miaka mingi toka miaka hiyo hadi Leo nimeona umebarikiwa na unacho kipaji cha kipekee hasa katika masuala ya kiroho na ulimwengu mwingine nahitaji msaada kama utakuwa tayari kunisaidia Nina mwanangu wa kiume ana mwaka mmoja na miezi minne toka azaliwe amekuwa n mtoto wa kuugua na kila uchao maisha yake mengi n kuugua nimeshajaribu kumpeleka kwa waganga tofauti ila bado hali ni ile ile mtoto paka sasa hatambai wala hataki kusimama meno ndiyo ameanza kuota mwezi huu na mpaka sasa ilibidi tumepeleke kwenye maombi ya mwamposa japo pia hakuna uhafadhali kivile ni vingi vya kuongea kuhusu huyu mtoto kama hutojali mkuu nisaidie tuwasiliane japo mwanangu apone pesa imekuwa haikai yote Inaenda kwenye matibabu yake mkuu ambayo pia hamna tumaini nakuomba mkuu nisaidie
Pengine hakupenda tu au labda walimuhasi!!Unyanyasaji wa wanyama: “Panya Magawa hajawahi kukutana na panya wa kike, maisha ya mafunzo yali-focus kwenye kwenda kuokoa maisha ya watu kwa hiyo hakupata muda wa kukutanishwa na panya wa kike” - Dr. Pendo Msegu, mwalimu wa Panya MagawaView attachment 2081138