Mada ya wanyama

KAKA KUONA BINGWA WA NGUVU ZA KIUME

Ni jina maarufu la mnyama ambaye kwa kimombo anajulikana kama (pangolin )au (scaly anteater).
Jina kaka kuona linatokana na uhadimu wake wa kutokuonekana kwa imani huchukuliwa kwamba kuonekana kwake ni bahati kwa namna moja au nyingine .

Kaka kuona huonekana kwa adimu hii ni kutokana na maumbile yake ambayo hufanana na sehemu ambazo hupenda kuishi.kwa mfano hupenda kukaa kwenye miti yenye magome yenye kufanana na magamba yake hiyo humfanya kutamblika kwake kuwa kwa adimu kumtambua.

Kaka kuona amekuwa mnyama maarufu sana katika nchi za Asia ambapo hutumiwa kama kitoweo, dawa,urembo,ambapo dawa maarufu ambayo hutoka kwake ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume(manspower)

#mambo_usiyo_yafahamu_kuhusu_kakakuona

1_Ulimi mrefu, akiurefusha kwa
kuutoa nje ya kinywa unafikia urefu
wa sentimita 40.

2)Ulimi huo ambao pia unanata,
huutumia kwa ajili ya kukusanya
wadudu ambao ndiyo mlo wake wa
pekee, hana mwingine zaidi ya huo
kutokana na kukosa meno.

3_Asilimia 20 ya uzito wa mwili wa
mnyama huyo unatokana na magamba.
Kakakuona hutumia magamba hayo
kama silaha ya kujilinda dhidi ya
maadui.

4_Licha ya kuwa hutumia mbinu hiyo
kujilinda, lakini anapojikunja ndiyo
inakuwa rahisi kwa watu kumkamata
na kumbeba.

5_kakakuona huishi miaka 20

JE WAJUA? Kakakuona ndie mnyama anayewindwa kwa biashara haramu kuliko wote duniani.
# SABABU 20% mwili wa kakakuona umezungukwa na magamba "scales" ambayo yana protini aina ya "keratin" aina ambayo pia iko kwenye nywele na kucha za binadamu na pembe za faru.

 
BONOBO



Wanyama wangekuwa na JF, Bonobo wangekuwa wadua wa uzi wa kula tunda kimasihara.

Hawa viumbe kwa kulana ndo habari ya mjini. Wakikutana na kusalimiana, wanagusanisha. Wakigombana, wanagusanisha kama njia ya kupatana. Wakitafuta chakula na kukipata, wanagusanisha kwanza ndo wanakula. Wakiona wamakaa wameboreka, wanagusanisha. Wanapenda 'oral' na wanagusanisha face to face kama wanadamu. Wanagusanisha kwa kuenjoy na hawana ubaguzi katika kugusanishana, ME kwa KE, ME kwa ME, KE kwa KE, yote sawa ilimradi raha. Ila kwa asilimia kubwa wazazi kwa wana au ndugu kwa ndugu hawalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…